Kwani kosa la Gwajima lipi? Naombeni mnieleweshe

Kwani kosa la Gwajima lipi? Naombeni mnieleweshe

ngoja nakaa hapa nasubiria majibu nijionee nini hasa kosa la Gwaji Boy
 
Gwajima kagusa ^mrima!^ Mtu hatakiwi kabisa kugusa ^mrima!^ (Ilisikika sauti kutoka Kenya).
 
Gwajima kapiga fumigation wadudu kunguni wote wanajitokeza ni kama ile aliyoipiga TAL chadema wadudu wote wamejitokeza na.kuelekea mtoni kujisafisha dawa
 
Ukiambiwa Watanzania ni wajinga,basi ujinga wao ndiyo huo
 
Yaani kwamba amekosea kuongea ukweli? au alitakiwa kukaa kimya aache tu watu waendelee kutekwa na kushambuliwa?
mungu wa Tanganyika hakosolewi... hata ukiwa kiongozi wa kanisa, ukimkosoa unapigwa tu!
 
Yaani kwamba amekosea kuongea ukweli? au alitakiwa kukaa kimya aache tu watu waendelee kutekwa na kushambuliwa?
mungu wa Tanganyika hakosolewi... Hata ukiwa kiongozi wa kanisa, ukimkosoa unapigwa tu! Bila shaka hapo Gwaji Boy anaandaliwa kitu kizito abondwe kichwani... Ndo kilichobaki, tayari wajibu hoja wote wanapwaya!
 
Alisema "hakurupuki " ana data za kutosha. Nafuu tumepata mtu wa kumfunga paka kengele. Alimvizia paka akiwa amelala fofofoo.
 
Apigwe nduli Gwajima(tuitikie wote)...... Apigweee
 
Back
Top Bottom