Kwani kosa la Gwajima lipi? Naombeni mnieleweshe

Kosalake ni kuuvua unec, ubunge, uaskofu na kisha kuongea na mediaz kama Mtanzania ama Gwajima
 
Eti kwanini kasema watanzania wanatekwa, wanapotezwa na serikali haichukui hatua.
 
Hahahaha.
Yule chizi wa ( Arusha) alikimbilia kanisani na kuanza kulia.
Bwana BASHITE chezea gwaj boy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…