Wewe pokea ofa kwa kadri ya zinavyokuja, gawa k uwezavyo ili kwakua wewe si mtumwa, hawa watu wa Jf wasikusumbue.Basi ndoa haina tofauti na utumwa kwa mwanamke
Watu wanasema na kuonya kwa ushahidi.Kwanini mnamchukulia mwanamke Kama kiumbe asiye na akili? Kwani yeye hawezi ku-calculate uwezo wake wa kubwia pombe? Ni lazima anapokunywa alewe?
Kwann pombe inaonekana obnoxious sana? Vipi kupewa lift? Soda? Simu?Hivi mumeo ampe ofa mwanamke unaona au ukasikia utafurahia?
Huu ni ujinga uliopindukia kwa mwanamke kupewa ofa mbele ya mume wake.Kwani nani kasema kuolewa ni utumwa? Yaani hata nikikutana na mwanaume niliyecheza ama kusoma naye nimkimbie? Hata ofa ya kinywaji niikatae??
View attachment 2271812
Endelea kushangaa bossSasa namshangaa huyo aliyevunja ndoa kisa mke kapewa bia
Kwani mzee wanawake wanaridhika basi wewe siumeona yule Tajiri wa Mwanza aliyempiga risasi mke wake alimpa kila kitu mke wake gari, kazi nzuri lakini the end of the day kapigwa tukioOfa? hebu rudia tena huku ukilitafakari neno lenyewe, OFA tena ya pombe?😂
Kama ni mwanamke tu niliyenaye ye apewe tu hizo ofa, ila kama ni mke there's no such a room unless iwe ni kutoka kwa watu nisiowatilia mashaka (ndugu wa karibu wa damu ninaowatambua), na isiwe pombe au lasivyo niwepo pia.
Lakini pia kama ofa imetolewa kwa group including my wife siwezi kumind as long as the one offering is known na sina mashaka nae, ikiwa selective lazima ni judge.
NB: MKE WAKO ANAPEWAJE OFA NA WATU USIOWAJUA KISHA UTULIE? Labda kama ulikuwa unazungumzia Malaya nitaungana na wewe. Tafuta hela umpe anachotaka aache kudowea.
Kiufupi haipendi kwa mwanamke especially aliyoolewa kupewa offer yoyote na mwanaume ambaye sio Mume wake kwasababu kupitia hivyo yatazaa mengine hiv unadhani wake za watu wanagongwaje na Wanaume ni pamoja nakutumia njia hizi hivi nikuulize hiv Mume wako akapewa offer na mwanamke labda offer ya nguo mbele yako utajisikiaje?Kwann pombe inaonekana obnoxious sana? Vipi kupewa lift? Soda? Simu?
Katika maisha yako, ukiacha ndoa. Tabia ya kupokea ofa kutoka kwa wanaume ambao sio ndugu zako wa damu achana nayo kabisa itakuja kukupeleka kubaya.Ndiyo maana nauliza ndoa inauwa hiari ya moyo na utashi wa mwanamke kufanya Jambo analolipenda?
Kama ndivyo basi ndoa ni utumwa. Sasa utanishawishi vipi mm kuingia utumwani (kwenye ndoa)?
Nimesoma kwa kurudia rudia lkn sijapata hoja ya kuniridhisha@Sexless soma kwa kurudia hapa
Kwahiyo mtu akiolewa asipigwe ofa maisha yake yote yaliyobakia?
Deep down hizo ni elements za dharau, unampaje offer ya bia mke wa mtu mbele ya mumewe umekosa aliekaa alone au...Kuna siku niliwahi kuona timbwili jamaa kachomoa mguu wa kuku kisa chenyewe cha kitoto eti jamaa kampa offer ya bia mkewe mbele yake.
Hii dharau lakiniKuna siku niliwahi kuona timbwili jamaa kachomoa mguu wa kuku kisa chenyewe cha kitoto eti jamaa kampa offer ya bia mkewe mbele yake.
HahahaKwani nani kasema kuolewa ni utumwa? Yaani hata nikikutana na mwanaume niliyecheza ama kusoma naye nimkimbie? Hata ofa ya kinywaji niikatae??
View attachment 2271812