Kwani kuolewa ni utumwa, mpaka wanaume wakinipa ofa za lift na kinywaji nizikatae?

Kwani kuolewa ni utumwa, mpaka wanaume wakinipa ofa za lift na kinywaji nizikatae?

Basi ndoa haina tofauti na utumwa kwa mwanamke
Wewe pokea ofa kwa kadri ya zinavyokuja, gawa k uwezavyo ili kwakua wewe si mtumwa, hawa watu wa Jf wasikusumbue.

Afterall hakuna inaemuhusu hapa zaidi ya huyo mwanaume bwege uliejiokotea.
 
Kwanini mnamchukulia mwanamke Kama kiumbe asiye na akili? Kwani yeye hawezi ku-calculate uwezo wake wa kubwia pombe? Ni lazima anapokunywa alewe?
Watu wanasema na kuonya kwa ushahidi.

Suala siyo uwezo wa kuhimili kilevi, bali hiyo ofa ya pombe toka kwa mwanamme mwingine tu ndipo ukakasi ulipo. Utapewaje ofa ya pombe na dume hata iwe unamfahamu? Hivi mumeo ampe ofa mwanamke unaona au ukasikia utafurahia?
 
Yaani upewe ofa kindezi afu mume atulie eti kisa unajielewa na hutaki kuchungwa. Kama utapokea hiyo ofa ya bia basi mumeo awe mbali na asijue, sidhani kama kuna mwanaume ataelifurahia hilo.
 
Ofa? hebu rudia tena huku ukilitafakari neno lenyewe, OFA tena ya pombe?😂

Kama ni mwanamke tu niliyenaye ye apewe tu hizo ofa, ila kama ni mke there's no such a room unless iwe ni kutoka kwa watu nisiowatilia mashaka (ndugu wa karibu wa damu ninaowatambua), na isiwe pombe au lasivyo niwepo pia.

Lakini pia kama ofa imetolewa kwa group including my wife siwezi kumind as long as the one offering is known na sina mashaka nae, ikiwa selective lazima ni judge.

NB: MKE WAKO ANAPEWAJE OFA NA WATU USIOWAJUA KISHA UTULIE? Labda kama ulikuwa unazungumzia Malaya nitaungana na wewe. Tafuta hela umpe anachotaka aache kudowea.
Kwani mzee wanawake wanaridhika basi wewe siumeona yule Tajiri wa Mwanza aliyempiga risasi mke wake alimpa kila kitu mke wake gari, kazi nzuri lakini the end of the day kapigwa tukio
 
Upumbavu wa kukubali mke wake apewe ofa na mwanaume mwingine mbele yako huu ujinga wanaweza kukuhali wavulana tu. Mwanaume mwenye akili timamu hawezi kukubali hiki kitu. Pia mwanamke anaejitambua hawezi kukubali ofa kutoka kwa mwanaume mwingine akiwa na mke wake otherwise huyo mwanamke ni malaya na hajielewi.
 
Kwann pombe inaonekana obnoxious sana? Vipi kupewa lift? Soda? Simu?
Kiufupi haipendi kwa mwanamke especially aliyoolewa kupewa offer yoyote na mwanaume ambaye sio Mume wake kwasababu kupitia hivyo yatazaa mengine hiv unadhani wake za watu wanagongwaje na Wanaume ni pamoja nakutumia njia hizi hivi nikuulize hiv Mume wako akapewa offer na mwanamke labda offer ya nguo mbele yako utajisikiaje?
 
Ndiyo maana nauliza ndoa inauwa hiari ya moyo na utashi wa mwanamke kufanya Jambo analolipenda?

Kama ndivyo basi ndoa ni utumwa. Sasa utanishawishi vipi mm kuingia utumwani (kwenye ndoa)?
Katika maisha yako, ukiacha ndoa. Tabia ya kupokea ofa kutoka kwa wanaume ambao sio ndugu zako wa damu achana nayo kabisa itakuja kukupeleka kubaya.
 
Ukiolewa tuliza kipochi manyoya nyumbani hatutoi ofa za bia kama sadaka tunataka hiyo papuchi.
 
Back
Top Bottom