shiumiti
JF-Expert Member
- Jun 4, 2009
- 435
- 19
Agizo hilo linatimia kwa HIARI ya mwanamke au mwanaume....NA SI LAZIMA KUFANYA HIVYO.
Agizo la mungu.Soma MTHAYO 19:5-7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Agizo la mungu.Soma MTHAYO 19:5-7
Mhh, you are going against civilization!!! Marriage is more than kuongeza dunia!! Married couples share so many things, apart from sex! So your idea ni watu kwua free range kama kuku?????? Hata kwenye old age... watu waliishi wawili wawili na believe it or not, kuishi wawili wawili kunapunguza so many barbaric behavior. Tukifanya kama unavyo suggest wewe, dunia itakwua na chaos, wanawake ndio wtakuwa victims, kwa kuwa watakuwa wanabakwa kila kukicha>>>>>>>
Kuoana ni kanuni asilia. Na ndoa haikulenga kuzaa tu km ww na wengne mnavyofikiri.Kama unataka kujua Mungu atalipokeaje wazo lako kasome biblia mwanzo 6:1 nk uone kilichotokea
mhh, you are going against civilization!!! Marriage is more than kuongeza dunia!! Married couples share so many things, apart from sex! So your idea ni watu kwua free range kama kuku?????? Hata kwenye old age... Watu waliishi wawili wawili na believe it or not, kuishi wawili wawili kunapunguza so many barbaric behavior. Tukifanya kama unavyo suggest wewe, dunia itakwua na chaos, wanawake ndio wtakuwa victims, kwa kuwa watakuwa wanabakwa kila kukicha>>>>>>>
Ni tafakuri jadidi katika mkutadha huu, je wadau nyakati hizi tulizo nazo kuna haja ya kuoana? Ikiwa tendo la kuzaa na kuijaza dunia tuliloagizwa na maulana tunalitimiza kikamilifu nje ya utaratibu huu wa kuoana na imefikia mahala hata wengine hatutaki tena kujaza dunia tuna abort au kuua vi offspring vyetu kinyume na mpango wa mola!
Mimi naona mpaka hapo kuoana ni uchoyo tu wa kutaka mtu mmoja kushikilia mwenzie na kuwanyima fursa wengine kuongeza dunia hapohapo!
Mnasemaje wadau?
shem usisahau kurudi na mwiko,Mulamu atakukoma leo!Eti umesemaje hapo??? Unamaanisha unataka kila mtu awe na wake wengi au?? Kama sijakupata vile.....
Wewe ndo unaonyesha ni mbinafsi sijui ni mwanamke au mwanaume utasemaje wengine wanawanyima wenzao fursa?? Hebu hebu ngoja nijipange kwanza nitarudi kha!!!!
shem usisahau kurudi na mwiko,Mulamu atakukoma leo!
Noted with thanks!Atakaye kuzini na azini sana! kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe mkuu na VVU juu
Ni tafakuri jadidi katika mkutadha huu, je wadau nyakati hizi tulizo nazo kuna haja ya kuoana? Ikiwa tendo la kuzaa na kuijaza dunia tuliloagizwa na maulana tunalitimiza kikamilifu nje ya utaratibu huu wa kuoana na imefikia mahala hata wengine hatutaki tena kujaza dunia tuna abort au kuua vi offspring vyetu kinyume na mpango wa mola!
Mimi naona mpaka hapo kuoana ni uchoyo tu wa kutaka mtu mmoja kushikilia mwenzie na kuwanyima fursa wengine kuongeza dunia hapohapo!
Mnasemaje wadau?
Mulama kuoana sio ubinafsi. Alafu jua kwamba Mungu aliwapa wanandoa majukumu 2 la kuzaa na pili kutawala. Mtawala lazima aweze kujitawala. Asa ww hutaki kujitawala unataka kuzaa tu kama kuku
<br />tena sijui huyu jamaa anajua km kuna Mungu maana kauli yake ina ukakasi. Pia hajui km kuzaa hakutokani na matakwa ya mtu ndo maana kuna watu wana miaka na hawana mtoto
Hapa sijaongelea jinsia fulani nimeongelea mwanadamu kwa ujumla kuwa kuoana ni uchoyo wa kunyimana fulsa na uhuru wa kila mtu kufanya matakwa yake ya kimwili. Umenipata?Eti umesemaje hapo??? Unamaanisha unataka kila mtu awe na wake wengi au?? Kama sijakupata vile.....
Wewe ndo unaonyesha ni mbinafsi sijui ni mwanamke au mwanaume utasemaje wengine ru wawanawanyima wenzao fursa?? Hebu hebu ngoja nijipange kwanza nitarudi kha!!!!
Mulama kuoana sio ubinafsi. Alafu jua kwamba Mungu aliwapa wanandoa majukumu 2 la kuzaa na pili kutawala. Mtawala lazima aweze kujitawala. Asa ww hutaki kujitawala unataka kuzaa tu kama kuku