Hapa sijaongelea jinsia fulani nimeongelea mwanadamu kwa ujumla kuwa kuoana ni uchoyo wa kunyimana fulsa na uhuru wa kila mtu kufanya matakwa yake ya kimwili. Umenipata?
Ha ha ha ha Mulama anachekesha kweli eti kuzaa wengine wanazibiana kwani nani kamzuia kuzaa watu wengine kujitoa shoo.
Halafu huyu anaonyesha ni mbinafsi hiyo sentensi yake eti wengine wanazibia kwani kama yeye anaona anazibiwa si achape lapa tu kwani nani anamzibia. Ngoja kwanza nisome PM nitarudi

Hapa sijaongelea jinsia fulani nimeongelea mwanadamu kwa ujumla kuwa kuoana ni uchoyo wa kunyimana fulsa na uhuru wa kila mtu kufanya matakwa yake ya kimwili. Umenipata?

Nimesema maana ya kuoana ni kuzaa hakuna ndoa itakuwa na amani bila kuwa na watoto huu ndio ukweli. Sasa kama tunazaa na kujaza dunia bila hata ya kuwa na ndoa kuna haja gani ya kushikiliana kwa kinachoitwa ndoa?! na kama kweli ndoa ni muhimu mbona mnapooana mnatolokana kwenda kwenye small houses?!

Alivo hata siledi lenyewe kalikimbia hawezi rudi na ubinafsi wake

Sasa wewe km unataka uhuru usioe/usiolewe sory sijajua jinsia yako

Bado nipo sana tu nilikuwa nachambua michango yenu kwenye mada hii lakini wote naona kama mnakwepa mantiki ya mada, mnaongelea ubinafsi na kuzaa kama kuku mnasahau anayezaa kama kuku na kuujaza ulimwengu ndio anatimiza matakwa ya muumba wake!

Kwa hiyo tukubaliane kuwa misingi ya ndoa inafanyika nje ya ndoa na ndani ya ndoa mnafanya kitu gani? au nibadilishe swali je nini malengo ya ndoa? tujibu bila kuzunguka tafadhari.

Dena hii ni jazba sio jibu suala ni je kuna haja ya kuoana ikiwa tumeshatimiza amri ya Muumba kuzaa tuongezeke? na ni wapi kwenye vitabu vya dini tumeagizwa kuoana ( Acha habari za Paulo kwa Wakolintho) manake anasema kama yeye si agizo la muumba! (Kwa Wakristo)
Hamna kuzibiana hapo ni mipango miji tu mkuu, wewe kama hujisikii kuoa usioe unaweza ishi kwa amani kabisa ila kuna wasiwasi hao watoto utakaowajaza katika dunia hii kukosa malezi bora unajua mkioana na kuishi pamoja mnashirikiana kuwapa watoto misingi bora ya maisha

Wewe nitakufanyia kazi small house? We bado mtoto Muhosni another watoto show iz around the corner ha ha ha vichekesho kweli

Hamna kuzibiana hapo ni mipango miji tu mkuu, wewe kama hujisikii kuoa usioe unaweza ishi kwa amani kabisa ila kuna wasiwasi hao watoto utakaowajaza katika dunia hii kukosa malezi bora unajua mkioana na kuishi pamoja mnashirikiana kuwapa watoto misingi bora ya maisha

Kama hutaki kuoa/kuolewa na usifanye hivyo kuumiza mwenzi wako right?

Usianze kuingiza mambo ya mistari ya biblia kwenye mada kindly soma JF Rules poa ukitaka haya nenda jukwaa la dini right?

Dena una hasira kweli!! jibu suala bana tueimishane hapa hakuna utoto hii ni mada nzito inahitaji mawazo ya kiuana zuoni kabisa!

Tatizo lako umetoa mada ya kutaka kushawishi watu wakubaliane na mtazamo wako. Sasa naona watu wamegoma kuunga mkono hoja. Kwa kuwa kuwa bachelor sio kinyume cha sheria, wewe endelea ila acha kuwarubuni watu wengine wawe wafuai wako!

Ndoa zina matatizo yake lakini nani ambaye amekaa single up to 50 years and he/she real enjoys every second of his/her life. Aje hapa atoe ushuhuda. Maana ni risk kufuata njia ambayo ni unknown.

Ndio maana sijanukuu kitabu nimenukuu maneno yanaweza kuwa yametamkwa na Paulo jilani yangu si lazima huyo unayemfikiria wewe. ( Hivi Dena Amsi ndio moderator???)