Ebu niambie vizuri je unataka kuliona au kulimiliki?
Enjoy, read each sentence slowly, absolutely brilliant .
Before marriage.... .
He: Yes. At last. It was so hard to wait.
She: Do you want me to leave?
He: No! Don't even think about it.
She: Do you love me?
He: Of course! Over and over!
She: Have you ever cheated on me?
He: No! Why are you even asking?
She: Will you kiss me?
He: Every chance I get.
She: Will you hit me?
He: Are you crazy! I'm not that kind of person!
She: Can I trust you?
He: Yes.
She: Darling!
After marriage....
Simply read from bottom line to the top line.
Na wewe!!!! huko kwenu hamsifianagi?Ebu niambie vizuri je unataka kuliona au kulimiliki?
Gaga mbona hujatoa jibu kwa muheshimiwa hapa
Na wewe!!!! huko kwenu hamsifianagi?
Nimemjibu tayari, mbona hivo yakhe
Ni tafakuri jadidi katika mkutadha huu, je wadau nyakati hizi tulizo nazo kuna haja ya kuoana? Ikiwa tendo la kuzaa na kuijaza dunia tuliloagizwa na maulana tunalitimiza kikamilifu nje ya utaratibu huu wa kuoana na imefikia mahala hata wengine hatutaki tena kujaza dunia tuna abort au kuua vi offspring vyetu kinyume na mpango wa mola!
Mimi naona mpaka hapo kuoana ni uchoyo tu wa kutaka mtu mmoja kushikilia mwenzie na kuwanyima fursa wengine kuongeza dunia hapohapo!
Mnasemaje wadau?
na wewe!!!! Huko kwenu hamsifianagi?
kama wewe hupendi kuoa au kuolewa baki nalo mwenyewe lakini usipotoshe jamii plse
Sijui kama atajibu
True kabisa I like it let me copy for my future reference
<br />Inshaaalwah kila la kheri mkuu
Hivi haliwezekani ehhhh??Dunia njema wawili wawili, hata ndege hukaa wawili....sasa litawezekana hili la wawili wawili bila ya kuwepo ndoa?
YouTube - Leona Lewis - I Got You
Ndio manake kwani ukimsifia mtu ndio unataka kummiliki?kwa hiyo ullikuwa unasifia tu?!
Samahani mrembo kama nimekuudhi kuuliza sio ujinga lakini sory