Kwani lazima kuoana?

 
Last edited by a moderator:
Labda ndugu yuko sahihi
vpy mbona mnangaka au kunamguso nini..?
Mawazo yam2hueshmiwa jaribun kumwlewa kwnza..
 

يا الله تجعلني فرحة لزوجتي، وجعل قرة عيني

oh God make me delight to my wife, and make apple of my eyes:A S shade:
 
Mkiitafuta point kwenye bandiko lake mtaipata.
Wana ndoa wengi ni wanafiki, na kiapo kile kimepoteza maana kwani watu wanayatamka yale maneno as formalities tu ni wachache sana wanaomaanisha.

Ingawa sikubaliani na the way alivyoiweka na solution yake lkn nakubaliana na unafiki wa wanamdoa.

Check mabandiko ya kutafuta wenzi, watalaka wamo wa kutosha; hiki ni moja ya viashiria kuwa "mpaka kifo kiwatenganishe" ni ngumu.
 
Ulitaka kusemaje? Sijakuelewa! By the way usiporidhika na ulicho nacho tegemea kuanza ku2mia ARV's mda sio mrefu!
 

point ipo ila alivyopresent mada yake hapana! Ameandika kama mtu aliyekua desperate sana! Hiyo solution yake ni majanga!
 
I wish I wish .. .. Machizi yakiwa yana sign in Jf.. Mods wawe wanasikia harufu/au waone ishara lolz.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ekchware, maelezo yako ni sahihi kabisa na ni ya kifalsafa. Ila maelezo hayo yapo nje kabisa na mpango wa Yehova Mungu. Ndoa sio taasisi ya starehe muda wote, starehe ni % ndogo sana! Ndio maana ikaitwa PINGU za maisha. Na wanaofungishwa ndoa hula kiapo cha UVUMILIVU.
 

Disgusting
 
Msimnange sana....!

Nchi za magharibi mwa afrca.....wana usemi usemao...(one hole kill penis)..!

....yani ukiwa unafanya na mwanamke huyo huyo kwa muda mrefu,uwezo wako wewe mwanaume wa ku'do unajikuta unapungua to the extent unaweza ukadhani una matatizo. The moment ukaenda chobingo (haijalishi huko chobingo ni pazuri au sio), ukirudi kwa mtu wako wa siku zote akili inajijenga ni kitu kingine kipya kabisa, hamu na uwezo vinaongezeka.

Msemo huu ni kwaajili ya wanaume, sijui kama ni kwa wanawake pia!
 
tatizo lako unajua kuoa au kuolewa ni tendo la ndoa tu... hujui vingine vinavyopatikana ndani ya ndoa.... omba ushauri...
 

Siuoni huo unafiki unaouzungumzia wewe. Mtu hapendwi kwa maumbile yake bali hulka yake, tabia yake, bashasha zake na mapenzi yake.

Niko ndani ya ndoa na huu ni mwaka wa kumi sasa. Si unafiki. Mke wangu namwona mpyaaaa kama ndio kwanza tunaanzana. Sasa kama wewe ushamchoka mwenzio, hakika hujui kupenda. Kwa hiyo azeekaye asipendwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…