Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkiitafuta point kwenye bandiko lake mtaipata.
Wana ndoa wengi ni wanafiki, na kiapo kile kimepoteza maana kwani watu wanayatamka yale maneno as formalities tu ni wachache sana wanaomaanisha.
Ingawa sikubaliani na the way alivyoiweka na solution yake lkn nakubaliana na unafiki wa wanamdoa.
Check mabandiko ya kutafuta wenzi, watalaka wamo wa kutosha; hiki ni moja ya viashiria kuwa "mpaka kifo kiwatenganishe" ni ngumu.
Ukitumia kitu kimoja kila
siku kwa muda mrefu kinakinai kama ni chakula ama kinachoka kama ni
kifaa ama kitu kingine chochote. Na mkioana ni hivohivo. Kila siku
demu/man yule yule na style zilezile lazima utamchoka na kuhitaji kupata
kitu kipya. Ndiyo mwanzo wa kutoka nje ya ndoa. Manake kwa akina dada
unakuta hata matiti yamelala kama ndala baada ya kuzalishwa, na zile
sehemu nyeti hata hazivutii tena. Mwanaume naye ndo kama bongo lala ktk
kuitumia bakora yake basi ndiyo hivyo hivyo kila siku maisha yake yote.
Nani kasema? Vinginevyo unaidhulumu nafsi yako ewe ndugu. unaweza kuwa
umeolewa ama kuoa mpenzi mwenye kikwapa, inamaana wewe uwe ni wa
kunukishwa kikwapa maisha yako yote? Acha uzembe, ili uishi maisha
marefu lazima uwe una-enjoy sex. Tembezeni huduma na mpate kubadilishana
uzoefu. Karibu kwa mchango wako mwanaJF.
Ukitumia kitu kimoja kila siku kwa muda mrefu kinakinai kama ni chakula ama kinachoka kama ni kifaa ama kitu kingine chochote. Na mkioana ni hivohivo. Kila siku demu/man yule yule na style zilezile lazima utamchoka na kuhitaji kupata kitu kipya. Ndiyo mwanzo wa kutoka nje ya ndoa. Manake kwa akina dada unakuta hata matiti yamelala kama ndala baada ya kuzalishwa, na zile sehemu nyeti hata hazivutii tena. Mwanaume naye ndo kama bongo lala ktk kuitumia bakora yake basi ndiyo hivyo hivyo kila siku maisha yake yote. Nani kasema? Vinginevyo unaidhulumu nafsi yako ewe ndugu. unaweza kuwa umeolewa ama kuoa mpenzi mwenye kikwapa, inamaana wewe uwe ni wa kunukishwa kikwapa maisha yako yote? Acha uzembe, ili uishi maisha marefu lazima uwe una-enjoy sex. Tembezeni huduma na mpate kubadilishana uzoefu. Karibu kwa mchango wako mwanaJF.