Kwani lazima kuoana?

Kwani lazima kuoana?

Du nimeangalia michango ya nyuma, nimevutiwa sana na JF ya zamani na uchangiaji wake, ngoja niendelee kujielimisha!

Thanks Invisible kwa kufukua hii debate!
 
Last edited by a moderator:
Sijaolewa

Aah, samahani shosti; kumbe kuna tofauti ya marry kwa Kiswahili? Tatizo you r not visible ningejuaje jinsia yako na katika mfumo dume kama huu, ni rahisi kufikiria a man behind success kuliko a woman!
 
Senorita, beautie Invisible, hapa hutapata matatizo kabisa, unataka candle dinner au champagne breakfast huku tukitazama sunrise?

jamani nikiresti in pisi mjue nimelikoroga hapa, nawaageni madeni yangu atalipa Bishanga na Asprin
Hahaha, nshaambiwa Kongosho hueleweki jinsia gani. Sitaki kuingia kwenye matatizo
 
Last edited by a moderator:
Hivi i have been asking myself maswali yafuatayo ambayo perhaps tukijiuliza kwa pamoja tunaweza kupata majibu sahihi;
Kwanini tunaoa au kuolewa?
Je kuna ulazima wa watu wote kuoa au kuolewa?
Na kama ni lazima nini vigezo vya kumfanya mtu amjue mtu wa kumuoa au kuolewa naye?

Dah just ...............

quote_icon.png
By s.fm

inawezekana ndoa iliwekwa ili kupunguza uasherati...je, tunaweza kujiuliza nini kingine kiliwekwa ili kupunguza wizi,mauaji,kusema uongo n.k (maana hizi pia ni dhambi) kwa hiyo mi naona kwa wale wanaoamini ndoa ni kama wajibu au utaratibu fulani. lakini tukumbuke ndoa huambatana na mapenzi, sasa je ni yupi uliyempenda na akakupenda?
 
tunafanya hivyo ili kubalansi dushe life....
 
Preta mi mzee hizo habari zenu za vijana mi sizijui jamani, hebu nambie kwa tafisida zetu za kizamani

We mzee? Coming with this thread? What a contradiction!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom