Kwani lazima kuoana?

Kwani lazima kuoana?

Mbu Hon....tupo pamoja...ila kijana kaniacha hoi sana tuuu yaani kila nikisoma comment yake najichekea mwenyewe kwa kweli....he is such a character,,,,,,kuna scenario moja hivi mbu ngoja nikumegee...wanaume wengi wanaopenda kujielezea sana kuwa wao ni vibajaji when it comes to sex....hahaha asikwambie ntu hao ni maji mara moja tuu akigusa paja tuu keshaachia shahawa......so huyu ni wale wale tuu!...ndiyo maana nacheka sana...

...ha ha haaa! tupo pamoja, nimekuelewa sana tu!
 
hahahahaha jamani uwiiiiii mbavu zangu miye!....watu wanapenda kujipa ujiko hahahahahaah!..... yaani i am on the floor laughing my ass off....mwaume bwana huwa wananifurahisha sana kwa kujipa ujiko....heheheheheheh!...this is so classic.......mweeeeh!....mahokaaaaaaa

haaa the baddest bitch..........you can read some people very well.....
 
Mbu Hon....tupo pamoja...ila kijana kaniacha hoi sana tuuu yaani kila nikisoma comment yake najichekea mwenyewe kwa kweli....he is such a character,,,,,,kuna scenario moja hivi mbu ngoja nikumegee...wanaume wengi wanaopenda kujielezea sana kuwa wao ni vibajaji when it comes to sex....hahaha asikwambie ntu hao ni maji mara moja tuu akigusa paja tuu keshaachia shahawa......so huyu ni wale wale tuu!...ndiyo maana nacheka sana...

Leta mkeo tuingie naye chumbani halafu wewe subiri nje, akitoka muulize. Ukitaka faidi zaidi picha weka camera ndani kabisa uchukue video, pengine itakusaidia somo. Sitakudai chochote.
 
Mbu Hon....tupo pamoja...ila kijana kaniacha hoi sana tuuu yaani kila nikisoma comment yake najichekea mwenyewe kwa kweli....he is such a character,,,,,,kuna scenario moja hivi mbu ngoja nikumegee...wanaume wengi wanaopenda kujielezea sana kuwa wao ni vibajaji when it comes to sex....hahaha asikwambie ntu hao ni maji mara moja tuu akigusa paja tuu keshaachia shahawa......so huyu ni wale wale tuu!...ndiyo maana nacheka sana...

Aiii! Sorry kumbe demu! Basi tupange appointment ya kuthibitisha madai yako haya. Uje mwenyewe ukiwa tayari kabisa kwa kazi. Lakini paja unalo, au una ile shepu ya 'lemon on match sticks'
 
kwa mtazamo wangu ndoa ni mtindo wa maisha kama ilivyo mitindo mingine mingi katika maisha ya binadamu. kupenda/kupendwa, kuzaa, kuumizwa kwa ajili ya penzi, wapenzi kuachana, visa na vituko vya wapendanao, kuhudumiana katika mahitaji ya miili na roho, kufanya ngono n.k. n.k. vyote hivi havina uhusianowa karibu sana na ndoa! hayo yote niliyotaja yanaweza kufanyika bila mkataba wa ndoa kuwepo! na ndio maana hayo hufanyika hata nje ya ndoa. kimsingi hatupaswi kuchanganya mambo haya, na tunapofunga ndoa ni kama kuhalalisha haya niliyotaja hapo juu, otherwise tunaweza kuishi tukipendana na kupeana bila kuwa ndani ya mkataba wa ndoa na mambo yakawa shwari tu, tena sana
 
Hapo mwake. Na kwa mtindo wa siku hizi wa wanawake kuupenda "u-singo parenti" mbona mambo ndio yananoga zaidi. Kama demu anataka kuzaa, unamzalisha afu unachapa mwendo. Analea mtoto ki-singo parenti kwa mihela yake, mtoto akikua anaanza kutafuta baba yake kama kawa. Si lazima tuoe
 
Kuna Binti mmoja yuko 32yrs old sasa amekata tamaa kabisa namuona anakonda kwa mawazo anadai mwanaume yoyote atakayetokea mbele yake, anaolewa...

Na swali analojiuliza kila leo kwanini yeye haolewi?

Nimejaribu kuuliza kisa nini hasa anadai umri wake umeenda sana, anahitaji kuwa na family, anahitaji kupata mtoto!

Kwani ukikaa bila kuoa au kuolewa ni tatizo wanajamii?

Hebu tumsaidie dada huyu kimawazo
 
sorry heading hapo inatakiwa kuwa kuoa/kuolewa mods nisaidie kubadili:rolleyez:
 
Anachemsha sasa..Kama anasema yeyote atakayetokea atamkubali...si vyema..Inaonyesha alikuwa na maringo mwanzoni huyu!
 
si lazima ....ni more like wajibu ulioelekea kwenye hiari zaidi 😀

inapendeza kupata watoto ukiwa umeolewa ( good for the kid kwak upata mtu mwanamme wa kumuongoza maishani, na pia status ya kuwa amezaliwa ndani ya ndoa), pia nafikiri ni nzuri kwako kupata mtu wa kushare nae raha/shida na maisha ya kila siku kwa ujumla

si maanishi kuwa akubali kuolewa na yoyote tu, asubiri mpaka apate atakae mridhisha atakapotokea, but akitokea asiefikia standards zake kwa asilimia 100 anaweza ku sucrifice kidogo .................since yeye mwenyewe pia si perfect
 
thanks Gaijin lakini je kama mme haonekani unaweza kuamua kujipatia katoto kako kisha una-close chapter ama wewe unaonaje ?
 
Kuna Binti mmoja yuko 32yrs old sasa amekata tamaa kabisa namuona anakonda kwa mawazo anadai mwanaume yoyote atakayetokea mbele yake ..anaolewa
Na swali analojiuliza kila leo kwa nini yeye haolewi???
Nimejaribu kuuliza kisa nini hasa anadai umri wake umeenda sana ,anahitaji kuwa na family, anahitaji kupata mtoto
Kwani ukikaa bila kuoa au kuolewa ni tatizo wanajamii ?
Hebu tumsaidie dada huyu kimawazo

Mie ninavyojua kuolewa/kuoa ni wajibu tena ni muhimu sana kwa maisaha ya binadamu.Mungu ametuumba na haja hiyo ya kuolewa/kuoa isipokuwa matowashi wachache wapo waliopewa uwezo na Mungu wa kukaa kiseja.Hebu wewe FL1 jiweke kwenye nafasi ya huyo dada( yani umgekuwa huna huyo mume uliyenaye sasa)ungejisikiaje.Nadhani kuna mambo mengi sana yanayosababisha watu wasiolewe/wasioe au wachelewe.Sababu nyingineni wahusika wenyewe na mambo mengine ni mazingira tu yanalazimisha hali iwe hivyo.Tusikimbilie kuwahukumu watu ila kama unaishi na watu wa aina hiyo tuwape ushauri na tuwaonyeshe upendo zaidi kwani huwa wanakuwa-affected sana kisaikolojia na mwishowe ndio hayo maamuzi mabaya.
 
Aombe Mungu tu kuna siku atampata watakaopendana na ataolewa. Anavyosema kwamba akimpata yeyote tu atakubali ni hatari kwani ndoa ni kitu ambacho waliopo wanataka kutoka na wasiokuwapo wanataka kuingia na endapo kweli utaolewa/oa mtu usiyempenda ndoa inaweza ikaishia kwenye honey moon. Asubiri tu na asali yupo wa kwake ambe Mungu amemwandalia. Pole sana.
 
si lazima ....ni more like wajibu ulioelekea kwenye hiari zaidi 😀

inapendeza kupata watoto ukiwa umeolewa ( good for the kid kwak upata mtu mwanamme wa kumuongoza maishani, na pia status ya kuwa amezaliwa ndani ya ndoa), pia nafikiri ni nzuri kwako kupata mtu wa kushare nae raha/shida na maisha ya kila siku kwa ujumla

si maanishi kuwa akubali kuolewa na yoyote tu, asubiri mpaka apate atakae mridhisha atakapotokea, but akitokea asiefikia standards zake kwa asilimia 100 anaweza ku sucrifice kidogo .................since yeye mwenyewe pia si perfect
 
Mie ninavyojua kuolewa/kuoa ni wajibu tena ni muhimu sana kwa maisaha ya binadamu.Mungu ametuumba na haja hiyo ya kuolewa/kuoa isipokuwa matowashi wachache wapo waliopewa uwezo na Mungu wa kukaa kiseja.Hebu wewe FL1 jiweke kwenye nafasi ya huyo dada( yani umgekuwa huna huyo mume uliyenaye sasa)ungejisikiaje.Nadhani kuna mambo mengi sana yanayosababisha watu wasiolewe/wasioe au wachelewe.Sababu nyingineni wahusika wenyewe na mambo mengine ni mazingira tu yanalazimisha hali iwe hivyo.Tusikimbilie kuwahukumu watu ila kama unaishi na watu wa aina hiyo tuwape ushauri na tuwaonyeshe upendo zaidi kwani huwa wanakuwa-affected sana kisaikolojia na mwishowe ndio hayo maamuzi mabaya.

thanx charity huyu dada kutokana na nature ya kazi yake amejikuta hatulii sana sehemu moja ,kwa mie binafsi sioni kama anatatizo lolote kitabia au ndoa ni bahati ya mtu??
na je aendelee kusubiri mpaka huyo mme atokee ?
Vip kuhusu umri wake anaoulalamikia?
 
Kuna Binti mmoja yuko 32yrs old sasa amekata tamaa kabisa namuona anakonda kwa mawazo anadai mwanaume yoyote atakayetokea mbele yake ..anaolewa
Na swali analojiuliza kila leo kwa nini yeye haolewi???
Nimejaribu kuuliza kisa nini hasa anadai umri wake umeenda sana ,anahitaji kuwa na family, anahitaji kupata mtoto
Kwani ukikaa bila kuoa au kuolewa ni tatizo wanajamii ?
Hebu tumsaidie dada huyu kimawazo

Mwambie kuoa/kuolewa ni majaliwa na pengine ni mapenzi ya mtu.

Wapo wengi ambao wanalazimishwa na wengine kuoa au kuolewa..hawataki lakini wapo wale ambao wanalilia kupata mtu wa kumwoa au kuolewa nae na wahapati kama ilivyo kwake..
Umri si tija, hata kibibi kinaweza kuolewa na inategemea na chaguo lake. Iwapo amefikia katika ngazi ya kuhisi anazidi kuzeeka na hapati mtu wa kumweka ndani kama mke, akikurupuka atajikuta pengine hiyo tamaa ya kuolewa ikamletea majuto makuu katika maisha yake yote kwani (i) anaweza kuolewa na mtu ambaye si chaguo sahihi (ii) anaweza kupata mtu ambaye hakujiandaa kuoa lakini kalazimisha na mazingira kwa maana kuwa kampata huyo mwanamke "desperate"
akamtega kwa jambo ambalo litamfanya amwoe tu ikiwa ni pamoja na kumsogezea mpaka "mimba" au mambo yetu haya ya "chienyeji" nk (iii) anaweza kupata mtu ambaye hatashindwa kumchunguza kwa makini mienendo ya maisha yake (wapo wababa wengi wajane hii leo mtaani kwa macho waona afya zao zipo makini lakini walishaathirika na hao wanatafuta watu wa jinsi hii ambao wanakimbilia kuolewa).

Kama alibugi huko nyuma kwa kuchagua chagua, asikurupuke kusema akipatikana yeyote tu atazaa au kulewa nae kama amekaa zaidi ya miaka kumi na kitu tokea awe "mtu mzima" (kufikia ngazi ya usichana), anaweza kujua kuwa maisha yana kurasa nyingi kuliko hata mistari ya maandiko ya kitabu kama "Biblia". Kila kukicha kuna somo lake la kujifunza, na pengine tunajifunza vibaya sana na kujiona kama dunia imetulaani pale tunapoangukia mikononi mwa watu ambao tunapaswa kuishi nao kila siku (mke/mume) ambapo kumbe hawakuwa wa chaguo letu. Hapo tunakuwa tumejifunga, tukitaka kuchomoka, tayari CV inakuwa inavurugika kama si kujiongezea doa....

Wapo wanawake/Wanaume wanaoishi kwa matarajio kuwa yeye ataolewa au kuolewa na mtu wa hadhi, mwanekano, au wa kutoka tabaka fulani kimaisha..jambo hili lina faida na madhara yake ...na moja ya madhara ndi hiyo ya kujikuta unazeekea "nyumbani"(kwa wazazi) na inapotimu wakatin fulani unakuja kubaini kuwa wewe ulipaswa kuoa au kuolewa na yeyote tu kwani hata angekuwa na mali, elimu, wa dini yako, wa kabila lako, wa rangi au sura fulani nk, ndoa huwa ni zaidi ya hayo unayodhania kichwani kwako kwa wakati huo, ndoa ni furaha na Amani .....hivyo visipokuwepo mengine yote utayaona kama "mavi"..

Aombe Mungu, asikate tamaa na kujiachia kama wengine wanavyoonekana mitaani katika zama hizi za ndoa za "copy and paste" staili...eti nioe au niolewe kisa fulani kaoa/kaolewa, mimi nitachekwa.
 
Anachemsha sasa..Kama anasema yeyote atakayetokea atamkubali...si vyema..Inaonyesha alikuwa na maringo mwanzoni huyu!

sina hakika kama alikuwa na maringo PJ na nyie wanaume wakati mwingine mnaringa sana unamtumia mtu weeeeeeeeeee unaenda kuoa kwingine ....
 
binaadamu huwa tunataka kuendesha maisha kwa sheria zetu ndo maana katikati tunashindwa.

simsemi yeye hapa ...........but kwanini mwanamme akuchezee kabla hajakuoa? wengi wetu hatutoki makanisani na misikitini kuabudu, but kwenye suala hilo inakuwa ngumu mno ....ni kwa nini hasa!
 
kama ilivyo kwa kiu ya maji jinsi uwezavyo kuamua kunywa tope ukiyakosa, kadhalika na kiu ya kuolewa.

Prophet Isaiah perhaps is one of the most hated prophets :

Isaiah 4:1 And in that day seven women shall take hold of one man, saying, We will eat our own bread, and wear our own apparel: only let us be called by thy name, to take away our reproach. KJV
 
thanx charity huyu dada kutokana na nature ya kazi yake amejikuta hatulii sana sehemu moja ,kwa mie binafsi sioni kama anatatizo lolote kitabia au ndoa ni bahati ya mtu??
na je aendelee kusubiri mpaka huyo mme atokee ?
Vip kuhusu umri wake anaoulalamikia?

Ndio kama nilivyosema,anahitaji couselling,sio yeye peke yake anayechanganyakiwa.as far as i know hili sasa ni janga la kitaifa.Akina dada wengi sana kwa sasa wanapitia hali kama hiyo.Ndio maana unaona kwenye matangazo ya kanisani wanaita watu waombewe wapate waume.Kama ni rafiki yako jaribu kuwa naye karibu na kumshauri aache papala kwa sababu aanaweza pata mtu asiyemfaa ikiwa bora mara kumi angekaa single.Pia awe ni mtu wa ibada sana na kumuomba Mungu atapata AMANI nafsini mwake na moyo wa uvumilivu.Kuna watu wana 40 na wanaolewa vilevile hivo ajipe moyo tu atashinda.Pia kama GAIJIN alivyoshauri ajaribu kupunguza masharti,mfano kama yeye alikuwa anataka mtu mwenyeelimu sawa na yeye labda mastas afikirie hata kuolewa na std 7(na vitu kama hivyo)
 
Back
Top Bottom