Kwani Makonda alitenda dhambi ngapi? Mbona anataka kuombewa na kila mtu?

Blood Diamond 2
 
Siku ukifanya unjustifiable homicide utaelewa maana ya gunia la misumari kichwani.
Kuna mauaji hadi unayasindikiza na mvinyo!
 
Pamoja na tuhuma zingine nyingi, jamaa ana tuhuma moja nzito kwamba aliongoza kikosi cha jaribio la mauaji dhidi ya Mh. Lissu.
 
Hili no bandiko Bora Kwa mwaka huu, hongera sana Ur real think tanker
 
Tulia bwana. Muache Kiongozi wetu shupavu apate upako wa viongozi wetu wa dini. Anajitafuta baraka zaidi na zaidi. Kwa maombezi yao, uKatibu Mkuu anao.
Chongolo hakufaa kuwa KM wa ccm kutokana na utendaji wake huko alikotoka, hata hivyo sababu zinazosemekana zimemuondoa ni hizo hizo za kutokuwa muadilifu ambazo Makonda kipenzi cha SAMIA zinamuandama!! Double standard application kwa Viongozi kutaiangusha nchi hii kama haijaanguka already.
 

Mwanadamu yeyote anayeombewa ujue ana matatizo makubwa hivyo hutafuta DIVINE INTERVENTION!!! Makonda ni mgonjwa ndio maana anahangaika; pale alipo hana Amani!!
 
Rais Ajae ni Makonda upende usipendee nia namadhumuni awe kama magufuli
Huyo aliyetajirika akiwa Mkuu wa mkoa tu !??
Je akiwa Waziri ??!!
Je akiwa makamu tu ??!!
Bado hatujafika huko
Msimchafue JPM pliz
 
Huyo aliyetajirika akiwa Mkuu wa mkoa tu !??
Je akiwa Waziri ??!!
Je akiwa makamu tu ??!!
Bado hatujafika huko
Msimchafue JPM pliz
Jpm ?huyo mzee amechafuka wapi acha kujiona unajua maisha yakujiona wenzako ni wehu acha masifa yatakuponza utanikumbuka . Tusiseme kwani wewe nani sindo nyie mlisema hapata tokea rais mwanamke samia huyu hapa na sasa hama nchi kwa maana makonda ndio rahisi sio napenda ni sina jinsi maana ukiangalia safari hii ni mkristo atashika nchi sio mwislam angekuwa jpm yupo angemaliza 2025 halafu aingie samia sasa samia yupo madarakani na wanamchagua mkristo ambayeni
Makonda wanamzoesha nchi . Halafu hujui makonda maisha huyajui kwa hiyo kaa kwakutulia .
 
Ni wenge tu damu za kina Ben saanane zinamuandama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…