Walokuwa wanaita wenzao Sukuma Gang sasa ndo wanamwita Samia dikteta!
Who didn’t see that coming?
Ni wale wale wanakutana hukoHalafu mbona hawajaingia mtaani kuandamana kupinga kufungwa kwa mungu wao?
Badala yake wanaandamana kwenye Twitter Space ya Maria [emoji1787].
Kila siku wanakutana huko kulalamika!
Hivi una undugu na mr #dishlimetilt? Au ni yeye unatumia id id nyingine?Uko pekee yako
Acha nilie kidogo kupunguza maumivu. Enzi za mwendazake 5000 ilinunua unit 41.3. Leo napata unit 21 tu.Mkuu, kwa hilo hauko peke yako, tuko wengi na hatutorudi nyuma. Hata tukikosa mengine yote, basi tutamuenzi Hayati Rais John Pombe Magufuli kwa kusimamia ujasiri aliotufundisha na kujiamini kuwa tunaweza.
Rest in peace uncle Magu, till we meet again [emoji1548]
Kwani kuna ubaya gani wewe chawa?Hivi una undugu na mr #dishlimetilt? Au ni yeye unatumia id id nyingine?
Nafikiri humjui vema Mshana juniorAnahujumiwa na nani wakati anamiliki mifumo yote?
Yupo kwao Nyamadhooke anapika pombe ya mahindiHuyu Sukuma Gang wa Huston yuko wapi siku hizi.
Huu uhuru tulionao humu JF inapelekea baadhi yenu kuandika pumba na mashudu tupu
Msihangaike na kupambana na legacy ya Magufuli, huyu mtu katokea kukubalika sana kwa Watanzania walio wengi,,, aliyoyafanya kwa miaka yake michache yameonesha kiwango cha juu cha upendo, uzalendo kwa kupigania maslahi ya Taifa hili ili kila mmoja anufaike
Mfano mdogo tu kaondolewa Kalemani na kuwekwa January Watanzania walio wengi wameonekana kutokufurahishwa na hili ukizingatia miezi michache tu mbele tumeanza kupata shida ya umeme
Mwisho kabisa, Mamá Samia na Makamu wake Dr Mpango ni zao la Magu
Hii ya kusema Magufuli alikubalika na Watanzania wengi, ni kauli ya kipuuzi isuyokuwa na uthibitisho wowote. Yawezekana alikubalika na watu wengi hapo kwenye jamii yako, siyo kwa Watanzania wengi. Yapo maeneo mengi na wapo watu wengi ambao wanamwona Magufuli ilikuwa ni laana kwa Taifa.
Kwa kifupi, jamaa alikubalika na watu WAJINGA na WAPUMBAVU TU.Wewe ni mpuuzi sana, nakuona kila siku unamtukana Magufuli na wasukuma hata na ID yako ya zamani (Bams).
Magufuli alikubalika na wengi kwa kazi zake, maskini, makabila yote, watu wote.
Mwambie Mama yako afanye kazi kubwa kuliko Magufuli, atapendwa na wengi.
Wewe mpuuzi unaweza kushinda uchaguzi wowote bila hao unaowatukana kila siku.
Ila Magufuli aliwadanganya sana nyie wapambe wake , yaani aliwaaminisha kwamba katiba si lolote na mkaamini , ilibaki kidogo sana muanze kumuabudu kuliko MunguKwa wale wakongwe wa Jamiiforums wananifahamu kuwa mimi ni mmoja wa watu tulikuwa nyuma ya aliyekuwa Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tano, Rais Magufuli tokea kwenye mchakato wa kumpata mgombea Urais ndani ya CCM mpaka alipoitwa na Mwenyezi Mungu. Rais Magufuli amenifundisha mengi sana mazuri na mabaya lakini kikubwa zaidi alichonifundisha ni Ujasiri na kujiamini katika kufanya maamuzi na ameacha mijadala ambayo haitaisha sio nchini pekee bali hata nchi za nje.
Kifo cha Rais Magufuli kama vifo vya wapendwa kwanza kilianza kwa kutia mshangao, baadaye kuhudhunisha na mwishoni kuukubali ukweli na kuangalia ya mbele. Mbele niliyoiangalia ni utawala ujao baada ya Rais Magufuli huku nikijua vizuri siasa za nchi yetu zilivyo.
Baada ya Rais Samia kuingia madarakani na kuanza kupanga ''safu yake'' ya uongozi huku akitoa maagizo ya hapa na pale. Wale tulikuwa tunaitwa MATAGA wakati wa utawala wa Rais Magufuli tukaongezewa jina jingine na kuanza pia kuitwa ''sukuma gang''.
Kwa wasiozijua siasa za nchi hii walituona kama ''laughing stock'' huku wakimhimiza Rais Samia kuhakikisha ''anatufagia'' katika serikali yake na tukilalamika tunaambiwa tuende Chato kwa “mungu” wetu ambaye ameshakufa.
Tulikuwa tunaambiwa “mama” anaponya majeraha...furaha imerejea nchini...”mama” anafuta legasi za mwendazake..
Nilijua ni muda tu hizi pongezi kwa Rais Samia zikiambatana na kicheko, kejeli na matusi kwa wanawaita MATAGA na sukuma gang zitapotea kwa sababu hawajui kitakachowakuta mbele ya safari yao ya kisiasa!
Miezi minne baada ya kifo cha Rais Magufuli wale waliokuwa wanatucheka na kutukejeli kwa sasa wanalia na hata yale majina ''waliotubatiza'' kwa sasa wameyasahau na yamepotea kwa haraka sana!
Waliokuwa wanatucheka na kutukejeli mpaka wakaanza kuchora katuni za kejeli lakini hawakujua kama ''atakapotumaliza sisi'' basi watafuata wao! Wahenga walisema, kulia kupokezana!
Sisi kwa sasa hatucheki wala kukejeli bali tunashangaa na kuuangalia huu mchezo wa kisiasa mpaka dakika za mwisho!
Kwa sasa najiuliza, kwani ''Mama'' amemalizana na sisi tuliokuwa tunaitwa ''MATAGA'' na ''sukuma gang''?
Siasa za nchi hii zinakwenda kwa haraka sana!
Tusijekushangaa sana watakapoanza kumkumbuka Marehemu Magufuli huko mbele ya safari ya kisiasa!
View attachment 1870346
Kwa kifupi, jamaa alikubalika na watu WAJINGA na WAPUMBAVU TU.
Genge gani tenaa!? Mimi ni C H A D E M A . mlitaka nchi ya kijani. Haya sasa, mmepewa na magugu maji..Nyie wenye akili mnashindwa kutupa Maji, umeme, kuthibiti mfumuko wa bei.
Maisha ya watu wa kawaida yamekuwa magumu sana.
Pumbavu sana wewe na genge lako.
Genge gani tenaa!? Mimi ni C H A D E M A . mlitaka nchi ya kijani. Haya sasa, mmepewa na magugu maji..
Sorry Brother! Najua sisi sote ni Watanzania[emoji1241] lengo letu ni moja.. Naweza kuhisi maumivu unayopitia. Ila yote heri, Tanzania [emoji1241] itakuja kuwa nchi tunayoitaka.Unapigania nini? Maisha mazuri, sera rafiki kusaidia Watanzania wengi, wote au genge dogo.
Sorry Brother! Najua sisi sote ni Watanzania[emoji1241] lengo letu ni moja.. Naweza kuhisi maumivu unayopitia. Ila yote heri, Tanzania [emoji1241] itakuja kuwa nchi tunayoitaka.
Pengine ni chawaNafikiri humjui vema Mshana junior