Kwani ''Mama'' amemalizana na sisi tuliokuwa tunaitwa ''sukuma gang''; Je, kwa sasa ni zamu ya waliokuwa wanafurahia na kufanya sherehe!

Unapepesa macho kiongozi sema wazi kabisa aliyekua anaongoza kuwazodoa hao sukuma gang ni bwana Mbowe, yaani huko aliko kwa kuwa ni gaidi itafaa sana awe analala na minyororo miguuni na mikononi gaidi ni hatari sana. Wawe wanamuamsha na viboko kila asubuhi.

Igizo la kitoto limebuma mpaka imebedi muwatumie uvccm kucheza mindgames. Tunawachora tu.
 
Unapepesa macho kiongozi sema wazi kabisa aliyekua anaongoza kuwazodoa hao sukuma gang ni bwana Mbowe, yaani huko aliko kwa kuwa ni gaidi itafaa sana awe analala na minyororo miguuni na mikononi gaidi ni hatari sana. Wawe wanamuamsha na viboko kila asubuhi.
Sitaki kutumia maneno ambayo yataonekana ninamcheka na kumkejeli!

Hawakujua kuwa kulia kupokezana!
 
Mpaka sasa tuko kwenye raha ya ajabu kwa Mungu kutuondolea yule dhalimu bila damu kumwagika. Wapinzani hawajawahi kula raha nchi hii, labda wale wapinzani wapenzi wa ccm. Hivyo kwetu anayofanya huyu mama wa kambo ni marudio tu. Japo mama wa kambo hata aige vipi, hawezi kummkutia dhalimu kwa uhayawani. Kwahiyo sukuma Gang mtapata tabu sana maana Mungu wenu alipanga kufia madarakani, na nyie muendelee kula upepo mwanana.
Kabisa mkuu!

Yule dhalimu wako mungu wako kakuondolea na sasa hivi mko vizuri!
Mnapumua, democrasia ipo tele, mama anawakomesha mataga na sukuma gang!

Mi 10 tena kwa mama
 
Nasema hivi, hata huyu mama aige udhalimu wa jiwe, bado dhalimu alikuwa dhalimu tu. Hatuhitaji mama wa kambo atufanyie wema wowote, huo wema awafanyie nyie sukuma Gang ndio mnapenda shushu, lakini katiba mpya lazima na sio ombi.
 
Mpaka sasa tuko kwenye raha ya ajabu kwa Mungu kutuondolea yule dhalimu bila damu kumwagika. Wapinzani hawajawahi kula raha nchi hii, labda wale wapinzani wapenzi wa ccm. Hivyo kwetu anayofanya huyu mama wa kambo ni marudio tu. Japo mama wa kambo hata aige vipi, hawezi kummkutia dhalimu kwa uhayawani. Kwahiyo sukuma Gang mtapata tabu sana maana Mungu wenu alipanga kufia madarakani, na nyie muendelee kula upepo mwanana.
Aaah maza anaupiga mwingi kamanda hadi gaidi mwenyewe alikiri.......kwani anko Magu alipewa hizi sifa na gaidi😁😁
 
Asante mungu kwa kutuondolea kichaa dhalimu, wafuasi wake wanajifariji kwa kumbambikia shujaa mbowe kesi ya ugaidi,
Waliwahi fanya hivi kwa rwakakatare, mashehe wa uamsho wakashindwa,
Watashindwa tu
 
CHADEMA Walifikiri Rais ni "dhaifu" atafanya chochote wanachotaka wakimshinikiza... ila sukuma gengi bado mpo mama hajawasahau anawalia timing tu🤣
Sisi tunaungalia huu mchezo kwa mbali!

CHADEMA kwa ujinga wao hawakujua sehemu yao kisiasa katika nchi hii!

Sisi tulioitwa MATAGA na sukuma gang hatujui kama ametumaliza au bado atarudi tena!🤣
 
Mpaka sasa tuko kwenye raha ya ajabu kwa Mungu kutuondolea yule dhalimu bila damu kumwagika. Wapinzani hawajawahi kula raha nchi hii, labda wale wapinzani wapenzi wa ccm. Hivyo kwetu anayofanya huyu mama wa kambo ni marudio tu. Japo mama wa kambo hata aige vipi, hawezi kummkutia dhalimu kwa uhayawani. Kwahiyo sukuma Gang mtapata tabu sana maana Mungu wenu alipanga kufia madarakani, na nyie muendelee kula upepo mwanana.
Yaani unasema mko kwenye raha halafu hapohapo unadai hamjawahi kuwa kwenye raha! Contradictory statement!

Who's laughing now!
 
Back
Top Bottom