Kwani ''Mama'' amemalizana na sisi tuliokuwa tunaitwa ''sukuma gang''; Je, kwa sasa ni zamu ya waliokuwa wanafurahia na kufanya sherehe!


Igizo la kitoto limebuma mpaka imebedi muwatumie uvccm kucheza mindgames. Tunawachora tu.
 
Sitaki kutumia maneno ambayo yataonekana ninamcheka na kumkejeli!

Hawakujua kuwa kulia kupokezana!
 
Kabisa mkuu!

Yule dhalimu wako mungu wako kakuondolea na sasa hivi mko vizuri!
Mnapumua, democrasia ipo tele, mama anawakomesha mataga na sukuma gang!

Mi 10 tena kwa mama
 
Kabisa mkuu!

Yule dhalimu wako mungu wako kakuondolea na sasa hivi mko vizuri!
Mnapumua, democrasia ipo tele, mama anawakomesha mataga na sukuma gang!

Mi 10 tena kwa mama

Nasema hivi, hata huyu mama aige udhalimu wa jiwe, bado dhalimu alikuwa dhalimu tu. Hatuhitaji mama wa kambo atufanyie wema wowote, huo wema awafanyie nyie sukuma Gang ndio mnapenda shushu, lakini katiba mpya lazima na sio ombi.
 
Aaah maza anaupiga mwingi kamanda hadi gaidi mwenyewe alikiri.......kwani anko Magu alipewa hizi sifa na gaidi😁😁
 
Asante mungu kwa kutuondolea kichaa dhalimu, wafuasi wake wanajifariji kwa kumbambikia shujaa mbowe kesi ya ugaidi,
Waliwahi fanya hivi kwa rwakakatare, mashehe wa uamsho wakashindwa,
Watashindwa tu
 
CHADEMA Walifikiri Rais ni "dhaifu" atafanya chochote wanachotaka wakimshinikiza... ila sukuma gengi bado mpo mama hajawasahau anawalia timing tu🤣
Sisi tunaungalia huu mchezo kwa mbali!

CHADEMA kwa ujinga wao hawakujua sehemu yao kisiasa katika nchi hii!

Sisi tulioitwa MATAGA na sukuma gang hatujui kama ametumaliza au bado atarudi tena!🤣
 
Yaani unasema mko kwenye raha halafu hapohapo unadai hamjawahi kuwa kwenye raha! Contradictory statement!

Who's laughing now!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…