KERO Kwani mitandao ya simu inalazimisha wateja wao wanunue router ili kupata unlimited internet?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
4,031
Reaction score
6,156
UNAWEZA nambia Kuna ulazima WA Mimi KUWA na router ILI KUWA na unlimited?

Je siwezi KUWA monitored nikiwa na unlimited Kwa card ya simu?

Kama router ni Kwa ajili ya ofisini na majumbani vipi Kwa MTU mmoja anayetaka unlimited BILA router ?

Ishakuwa fashion kutembea na mizigo mingi bag Lina laptop, router na mawaya kibao du.

Vifurushi kama hivi vinaishaga ndani ya siku TU

Screenshot_20251203-162036.png

Niliumga kifurushi Cha gb 110 kikaisha ndani ya wiki , na siku kama mbili hapa.

Kama gb za aina hii mnatoa KWENYE sim card haiwezekani kukosa unlimited?

HUWEZI nambia SABABU ya 5g wakati simu nyingi Zina 5g na 4g
 
Router inakurahishia kushare na devices tofauti kwa urahisi au kushare na watu wengi ; sasa kama familia mnaweza mka-share unlimited na mpo kumi kwa laki na nusu huoni kwamba ni nafuu kwenu kuliko kila mtu kwa elfu 15 akinunua bundle huenda akashindwa kuangalia episodes zake za Jumong ?

Anyway hii sintofahamu na bundle kuwa gharama laumu serikali / TCRA na sio Makampuni yanayojitafutia ugali

Naunga mkono hoja mkuu
 
Voda na Halotel wana Unlimited zisizohitaji router,

Pia tigo wadau wengi humu wame leta feedback zinafanya kazi kwenye simu Unlimited zao.
Vipi mchakato wake ni WA kihalali YAANI naenda kufanya malipo MWENYEWE ? napewa card au MPAKA nipitie Kona Kona.

Hiyo unlimited ya halotel ni ipi MANA Nina m2m na vifurushi vya mwezi wanatoa Kwa bando. Checki snap hapo juu post ya kwanza .
 
Hii naikumbuka na nilitumiwa sana hakuna limit ya bando ni 1500, nadhani ilikuwepo ILI waingie sokoni haraka walipokamata wakatoa
TCRA / Serikali walileta Bei ilikezi ili wapate Tozo / Makusanyo zaidi - Kikulacho ki nguoni Mwako

Router inakurahishia kushare na devices tofauti kwa urahisi au kushare na watu wengi ; sasa kama familia mnaweza mka-share unlimited na mpo kumi kwa laki na nusu huoni kwamba ni nafuu kwenu kuliko kila mtu kwa elfu 15 akinunua bundle huenda akashindwa kuangalia episodes zake za Jumong ?

Anyway hii sintofahamu na bundle kuwa gharama laumu serikali / TCRA na sio Makampuni yanayojitafutia ugali

Hii sio SABABU ya msingi je tulio single na hatutaki kushare
 
UNAWEZA nambia Kuna ulazima WA Mimi KUWA na router ILI KUWA na unlimited?

Je siwezi KUWA monitored nikiwa na unlimited Kwa card ya simu?

Kama router ni Kwa ajili ya ofisini na majumbani vipi Kwa MTU mmoja anayetaka unlimited BILA router ?

Ishakuwa fashion kutembea na mizigo mingi bag Lina laptop, router na mawaya kibao du.

Vifurushi kama hivi vinaishaga ndani ya siku TU

View attachment 3510891

Niliumga kifurushi Cha gb 110 kikaisha ndani ya wiki , na siku kama mbili hapa.

Kama gb za aina hii mnatoa KWENYE sim card haiwezekani kukosa unlimited?

HUWEZI nambia SABABU ya 5g wakati simu nyingi Zina 5g na 4g
Nadhani ni promosheni tu za kawaida za makampuni ya mitandao ya simu.
 
Back
Top Bottom