UNAWEZA nambia Kuna ulazima WA Mimi KUWA na router ILI KUWA na unlimited?
Je siwezi KUWA monitored nikiwa na unlimited Kwa card ya simu?
Kama router ni Kwa ajili ya ofisini na majumbani vipi Kwa MTU mmoja anayetaka unlimited BILA router ?
Ishakuwa fashion kutembea na mizigo mingi bag Lina laptop, router na mawaya kibao du.
Vifurushi kama hivi vinaishaga ndani ya siku TU
View attachment 3510891
Niliumga kifurushi Cha gb 110 kikaisha ndani ya wiki , na siku kama mbili hapa.
Kama gb za aina hii mnatoa KWENYE sim card haiwezekani kukosa unlimited?
HUWEZI nambia SABABU ya 5g wakati simu nyingi Zina 5g na 4g