Nunua unlimited kama vifurushi vya kawaida vitakuingiza gharama.
Kuna watu wananunua vifurushi hadi vya elf 3 hadi elf 5 kila siku na hapo ni GB 2 tu, kuepuka haya matumizi watu hulipiaunlimited ya elf 50 majumbani na maofisini au kununua unlimited za elf 70 wanazoweza kubeba router zake, wengine hawabebi router wanabeba laini, hio laini inatumika na router zaidi ya moja.
Pia unlimited inasaidia kupunguza gharama, Nyumbani unakuta kila siku unaombwa hela ya vocha kuanzia mke, watoto, house girl, n.k. suluhisho ni kuwawekea unlimited internet.
kukiwa na vifurushi unlimited vya simu basi hakutakuwa na soko la unlimited internet.
kuna kifurushi cha mchongo cha Tigo cha unlimited kinachofanya kazi kwenye simu, ila sio rasmi.