Lengo si iunilimit KWENYE kifaa wakati naweza PATA huduma hiyo Kwa NJIA ya card ya simu na KUWEKA KWENYE simu yangu kuepusha mizigo WENGINE hatutembei na mafurushi, yana Baki Kazini je tatizo nini?.GB 30 zinanitosha sana kwa mwezi.
Kwa siku natumia 1Gb.
Sina screen time zaidi ya 2hrs per day.
Namimi nakupa feedback mkuu, nimefanikiwa unlimited ya sim card ya tigo mana router kuibeba kila sehem mtihani kwakweliVoda na Halotel wana Unlimited zisizohitaji router,
Pia tigo wadau wengi humu wame leta feedback zinafanya kazi kwenye simu Unlimited zao.
Naunga mkono hoja mkuuRouter inakurahishia kushare na devices tofauti kwa urahisi au kushare na watu wengi ; sasa kama familia mnaweza mka-share unlimited na mpo kumi kwa laki na nusu huoni kwamba ni nafuu kwenu kuliko kila mtu kwa elfu 15 akinunua bundle huenda akashindwa kuangalia episodes zake za Jumong ?
Anyway hii sintofahamu na bundle kuwa gharama laumu serikali / TCRA na sio Makampuni yanayojitafutia ugali
Kutokana na Mvutano uliopo kati ya Serikali, Watoa Huduma na Wananchi kuhusu Bundles na Shutuma za Wizi inabidi sisi wananchi tuelewe tunataka nini na Wizi ni nini?
Issue za Wizi:
Kama kuna issue za Wizi na mtu kaibiwa kuna vyombo vya kisheria na TCRA inabidi mwananchi aweze kupeleka issue zake huko ili asaidiwe, na hapa wizi ni kuuziwa tofauti na makubaliano yaani unanunua mb 10 unapewa mbili na sio gharama ya bei
SULUHISHO
A: Serikali ikae Kando
Mbaya katika haya mambo mara zote ni Serikali kuingilia haya mambo na mara nyingine gharama inatokana na Tozo / Au Sheria za...
- Logikos
- sakata suluhisho
- Replies: 24
- Forum: Tech, Gadgets & Science Forum
Vipi mchakato wake ni WA kihalali YAANI naenda kufanya malipo MWENYEWE ? napewa card au MPAKA nipitie Kona Kona.Voda na Halotel wana Unlimited zisizohitaji router,
Pia tigo wadau wengi humu wame leta feedback zinafanya kazi kwenye simu Unlimited zao.
Hii naikumbuka na nilitumiwa sana hakuna limit ya bando ni 1500, nadhani ilikuwepo ILI waingie sokoni haraka walipokamata wakatoaZamani ilikuwepo haloteli kuanzia saa 2 hadi asubuhi ilikuwa unlimited wakaja kukipiga panga kifurushi
Kihalali weka hatua na gharama zitusaidie pia, tunaenda ofsini kwao ?Namimi nakupa feedback mkuu, nimefanikiwa unlimited ya sim card ya tigo mana router kuibeba kila sehem mtihani kwakweli
TCRA / Serikali walileta Bei ilikezi ili wapate Tozo / Makusanyo zaidi - Kikulacho ki nguoni MwakoHii naikumbuka na nilitumiwa sana hakuna limit ya bando ni 1500, nadhani ilikuwepo ILI waingie sokoni haraka walipokamata wakatoa
Hii sio SABABU ya msingi je tulio single na hatutaki kushareRouter inakurahishia kushare na devices tofauti kwa urahisi au kushare na watu wengi ; sasa kama familia mnaweza mka-share unlimited na mpo kumi kwa laki na nusu huoni kwamba ni nafuu kwenu kuliko kila mtu kwa elfu 15 akinunua bundle huenda akashindwa kuangalia episodes zake za Jumong ?
Anyway hii sintofahamu na bundle kuwa gharama laumu serikali / TCRA na sio Makampuni yanayojitafutia ugali
Kutokana na Mvutano uliopo kati ya Serikali, Watoa Huduma na Wananchi kuhusu Bundles na Shutuma za Wizi inabidi sisi wananchi tuelewe tunataka nini na Wizi ni nini?
Issue za Wizi:
Kama kuna issue za Wizi na mtu kaibiwa kuna vyombo vya kisheria na TCRA inabidi mwananchi aweze kupeleka issue zake huko ili asaidiwe, na hapa wizi ni kuuziwa tofauti na makubaliano yaani unanunua mb 10 unapewa mbili na sio gharama ya bei
SULUHISHO
A: Serikali ikae Kando
Mbaya katika haya mambo mara zote ni Serikali kuingilia haya mambo na mara nyingine gharama inatokana na Tozo / Au Sheria za...
- Logikos
- sakata suluhisho
- Replies: 24
- Forum: Tech, Gadgets & Science Forum
Exactly 💯Hii naikumbuka na nilitumiwa sana hakuna limit ya bando ni 1500, nadhani ilikuwepo ILI waingie sokoni haraka walipokamata wakatoa
Sasa mkuu, gb1 kwa masaa2! Unastream manini?GB 30 zinanitosha sana kwa mwezi.
Kwa siku natumia 1Gb.
Sina screen time zaidi ya 2hrs per day.
Nadhani ni promosheni tu za kawaida za makampuni ya mitandao ya simu.UNAWEZA nambia Kuna ulazima WA Mimi KUWA na router ILI KUWA na unlimited?
Je siwezi KUWA monitored nikiwa na unlimited Kwa card ya simu?
Kama router ni Kwa ajili ya ofisini na majumbani vipi Kwa MTU mmoja anayetaka unlimited BILA router ?
Ishakuwa fashion kutembea na mizigo mingi bag Lina laptop, router na mawaya kibao du.
Vifurushi kama hivi vinaishaga ndani ya siku TU
View attachment 3510891
Niliumga kifurushi Cha gb 110 kikaisha ndani ya wiki , na siku kama mbili hapa.
Kama gb za aina hii mnatoa KWENYE sim card haiwezekani kukosa unlimited?
HUWEZI nambia SABABU ya 5g wakati simu nyingi Zina 5g na 4g
Mimi nliunganishwa na wa mitandaoniKihalali weka hatua na gharama zitusaidie pia, tunaenda ofsini kwao ?