Kampuni ipo pale ku-maximize mapato - kwenye bundle nyingi wamewekewa bei elekezi na Serikali hivyo wanabanwa sana ndio maana unakuta kuna hizi Router wanawauzia watu wenye TIN (kwamba ni biashara hivyo TOZO kwao linakuwa dogo) ndio maana nimekwambia kama unataka fairness usilaumu makampuni laumu Serikali kama uzi nilizokuwekea hapo juu zinakueleza mbaya wako ni naniHii sio SABABU ya msingi je tulio single na hatutaki kushare
Ukipatwa shida unaenda wapi vipi jamaa akifa D9Mimi nliunganishwa na wa mitandaoni
Babu bado ujasolve😄, hapa tunataka kuepuka router Sasa ulisema nabeba laini ya router MANAKE Nisha nunua hiyo router Mimi nataka line TU ILI niweke KWENYE simu yangu mambo ya house girl , na MKE tunawaachia ninyi MTU kama hana wategemezi? Na HATA kama anao ila hataki kushare noo.Nunua unlimited kama vifurushi vya kawaida vitakuingiza gharama.
Kuna watu wananunua vifurushi hadi vya elf 3 hadi elf 5 kila siku na hapo ni GB 2 tu, kuepuka haya matumizi watu hulipiaunlimited ya elf 50 majumbani na maofisini au kununua unlimited za elf 70 wanazoweza kubeba router zake, wengine hawabebi router wanabeba laini, hio laini inatumika na router zaidi ya moja.
Pia unlimited inasaidia kupunguza gharama, Nyumbani unakuta kila siku unaombwa hela ya vocha kuanzia mke, watoto, house girl, n.k. suluhisho ni kuwawekea unlimited internet.
kukiwa na vifurushi unlimited vya simu basi hakutakuwa na soko la unlimited internet.
kuna kifurushi cha mchongo cha Tigo cha unlimited kinachofanya kazi kwenye simu, ila sio rasmi.
Kama Kuna hii monopoly basi tusubiri D9, MANA TZ internet ni anasaKampuni ipo pale ku-maximize mapato - kwenye bundle nyingi wamewekewa bei elekezi na Serikali hivyo wanabanwa sana ndio maana unakuta kuna hizi Router wanawauzia watu wenye TIN (kwamba ni biashara hivyo TOZO kwao linakuwa dogo) ndio maana nimekwambia kama unataka fairness usilaumu makampuni laumu Serikali kama uzi nilizokuwekea hapo juu zinakueleza mbaya wako ni nani
Kutokana na Mvutano uliopo kati ya Serikali, Watoa Huduma na Wananchi kuhusu Bundles na Shutuma za Wizi inabidi sisi wananchi tuelewe tunataka nini na Wizi ni nini?
Issue za Wizi:
Kama kuna issue za Wizi na mtu kaibiwa kuna vyombo vya kisheria na TCRA inabidi mwananchi aweze kupeleka issue zake huko ili asaidiwe, na hapa wizi ni kuuziwa tofauti na makubaliano yaani unanunua mb 10 unapewa mbili na sio gharama ya bei
SULUHISHO
A: Serikali ikae Kando
Mbaya katika haya mambo mara zote ni Serikali kuingilia haya mambo na mara nyingine gharama inatokana na Tozo / Au Sheria za...
- Logikos
- sakata suluhisho
- Replies: 24
- Forum: Tech, Gadgets & Science Forum
Ukisema monopoly watu wanaweza kudhani makosa ni ya Kampuni - Tatizo ni Serikali inapenda kukamua na kuchuma isichopanda; sio huko tu bei ya petroli ipo juu sababu ya makodi, matozo kila kona; hakuna consumer ambaye halipi kodi na sio Kodi moja tu bali double taxationKama Kuna hii monopoly basi tusubiri D9, MANA TZ internet ni anasa
Haina ulazima ziishe ila maximum nimeweka 1gb pee daySasa mkuu, gb1 kwa masaa2! Unastream manini?
kama hutaki hizo kero za kubeba router beba pesa yako tu, kifurushi kikikata unanunua kingine, tena na tenaBabu bado ujasolve😄, hapa tunataka kuepuka router Sasa ulisema nabeba laini ya router MANAKE Nisha nunua hiyo router Mimi nataka line TU ILI niweke KWENYE simu yangu mambo ya house girl , na MKE tunawaachia ninyi MTU kama hana wategemezi? Na HATA kama anao ila hataki kushare noo.
Nipe feedback kama naweza badili laini ya Yas ya kawaida kuwa unlimited. Maana nina post paid ila natumia unlimited ya Voda ambayo nimegawa nawaza ya Airtel mwezi huu.Namimi nakupa feedback mkuu, nimefanikiwa unlimited ya sim card ya tigo mana router kuibeba kila sehem mtihani kwakweli
Acha udikiteta kama samulakama hutaki hizo kero za kubeba router beba pesa yako tu, kifurushi kikikata unanunua kingine, tena na tena
Unless kuwe na mabadiliko hicho cha 50,000 ndio unlimited kwa Halotel, sema utatumia kwa speed kubwa hizo gb zao walizoandika hapo, zikiisha speed itapungua ila still ni speed ya kawaida kama 5-15Mbps hadi GB 100 then inashuka kabisa around 0.5mbps.Vipi mchakato wake ni WA kihalali YAANI naenda kufanya malipo MWENYEWE ? napewa card au MPAKA nipitie Kona Kona.
Hiyo unlimited ya halotel ni ipi MANA Nina m2m na vifurushi vya mwezi wanatoa Kwa bando. Checki snap hapo juu post ya kwanza .
Ukiona hivyo ujue kuna hela nying hapoUna hoja makampuni ya simu yaje. Naongezea, kwa nini huduma ya unlimited ni ya kificho ? Kwa nini isiwe na menyu watu wakawa wanajinunulia kuliko sasa kuuzwa kwa kificho kama bangi?
Mkuu em elezea vizuri mna share vipi bando, na hiyo 120K kwa router mbili ikoje.Kwa siku ni 1.5 mpaka 3 gb inategemea na siku hiyo kwa mwezi haipungui 120 kwa matumizi ya internet bado dakika
Baada ya kununua router nimesave pakubwa sana
Nimenunua router 2 moka nyumbani na nyingine biasharan kwangu
Zote mbili kwa mwezi natumia 120 tu
Faida
Home na familia yangu timeshare tu bundle so hata mke sina gharama zake tena za internet lakini pia kazin wafanyakazi wamesave pesa zao ambapo nahakika pia wanapiga hesabu kuunga kifurushi
Chief me naomba kujua why iphone ukiwasha vpn huwezi hotspotUnless kuwe na mabadiliko hicho cha 50,000 ndio unlimited kwa Halotel, sema utatumia kwa speed kubwa hizo gb zao walizoandika hapo, zikiisha speed itapungua ila still ni speed ya kawaida kama 5-15Mbps hadi GB 100 then inashuka kabisa around 0.5mbps.
Kuhusu Tigo sijajua kama ni official ama la ila naona mtandaoni mawakala wengi wanatangaza.
Nipe feedback kama naweza badili laini ya Yas ya kawaida kuwa unlimited. Maana nina post paid ila natumia unlimited ya Voda ambayo nimegawa nawaza ya Airtel mwezi huu.