KERO Kwani mitandao ya simu inalazimisha wateja wao wanunue router ili kupata unlimited internet?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Yes unaweza badili line yako ya yas kuwa unlimited bt kama uliunganisha postpaid unatakiwa ujiondoe kwanza.
NB: line ikiungwa unlimited huwezi pokea calls wala huezi piga wala txt unakua unaitumia kwa data
Unlimited ya SIM card unalipia kiasi gani na speed yake ni ipi. Maana Airtel nimeongea nao wameishiwa zile router za ndani wanataka wanipe ya kufunga nje naona itanibana.
 
Chief me naomba kujua why iphone ukiwasha vpn huwezi hotspot
Kuna njia ya kubypass?
Unamaanisha kutumia vpn ya iphone na hotspot ama kutumia hotspot na vpn pamoja?

Kama ni kutumia vpn ya iphone kwenye hotspot haiwezekani ni limitation ya ios unless u jailbreak.

Kama ni kutumia tu pamoja kwenye simu inawezekana. Ila unaempa hotspot Hata pata vpn itabidi na yeye aweke yake
 
Ni vile tu kupata line zenye menu hiyo ishakua issue
Mi nilinunua router nikatoa line nimeweka kwenye cm
Wao inaanzia elf 10 =gb 10
 
Hii naikumbuka na nilitumiwa sana hakuna limit ya bando ni 1500, nadhani ilikuwepo ILI waingie sokoni haraka walipokamata wakatoa
Halotel wapuuzi walikuwa na kifurushi kingine pia cha double kila unaponunua wakatoa
Nikaenda kuwauliza,kumbevwalikuwa wanavutia watu wasajili line tu
Nimefuta usijli no zao
 
Chief-Mkwawa ameuliza mkuu hapo
 
Yani mtu akiwa na vpn kwa iphone na iko on (say turbo,secure vpn etc)
then aseme awashe hotspot kwa vifaa vyake vingine say tv, pc au hata kumhotspot mtu mwingine inakataa
 
Yani mtu akiwa na vpn kwa iphone na iko on (say turbo,secure vpn etc)
then aseme awashe hotspot kwa vifaa vyake vingine say tv, pc au hata kumhotspot mtu mwingine inakataa
Inavyoonekana ni tatizo la simu yako, sababu ios ina uwezo huo.

Kuna solution hapa ya ku disable ipv6


Waweza I jaribu kama itakusaidia.
 
Tunatafuta pesa acha roho ya kukunja kama korosho,tulisha kutwa tunahitaji kujiwezesha wenyewe!
 
Vipi mchakato wake ni WA kihalali YAANI naenda kufanya malipo MWENYEWE ? napewa card au MPAKA nipitie Kona Kona.


Hiyo unlimited ya halotel ni ipi MANA Nina m2m na vifurushi vya mwezi wanatoa Kwa bando. Checki snap hapo juu post ya kwanza .
Natumia halotel unlimited ya elf 50 line zake ukipewa huwezipiga simu ndo maana bora ikae kwenye router tu
 
Nilidharau heading.. ila unapoint kubwa sana
 
Mimi line yangu ni unlimited
Nililipa elfu 70 mara ya mwisho tar 26 October
Hadi Leo sijafika mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…