KERO Kwani mitandao ya simu inalazimisha wateja wao wanunue router ili kupata unlimited internet?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hapa nilipo buku6 unapata gb12
 
Mimi Huwa natukana ma ccm aoina samia naogopa kutekwa .

FANYA namna wewe hauna makando kando
Yaani sajili line mpya ya tigo .mana hyo. Haipigi wala kupokea ni yainternet tu
Andaaa na elfu 70 na email
Hyo elfu 70 unaweka kwenye hyo line nakuonesha jinsi ya kulipa
 
Yaani sajili line mpya ya tigo .mana hyo. Haipigi wala kupokea ni yainternet tu
Andaaa na elfu 70 na email
Hyo elfu 70 unaweka kwenye hyo line nakuonesha jinsi ya kulipa
Embu tuonyeshe ndugu na vipi kuhusu speed yake Iko vizuri?
 
Lengo si iunilimit KWENYE kifaa wakati naweza PATA huduma hiyo Kwa NJIA ya card ya simu na KUWEKA KWENYE simu yangu kuepusha mizigo WENGINE hatutembei na mafurushi, yana Baki Kazini je tatizo nini?.
Ukitoa line kwenye router ukaweka kwenye simu inafanya kazi?
 
ni kwa sababu ya uwezo wa simu, na pia sio data tu ata sms ukitaka kutuma nyingi lazima utumie huduma ya pemben na sio kwenye simu!
 
Voda na Halotel wana Unlimited zisizohitaji router,

Pia tigo wadau wengi humu wame leta feedback zinafanya kazi kwenye simu Unlimited zao.
zinapatikaje n.kwa mfano unlimited ya tigo ni tsh ngapi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…