KERO Kwani mitandao ya simu inalazimisha wateja wao wanunue router ili kupata unlimited internet?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Haya majinga ndio maana yakisikia Elon musk anataka kuleta Starlink bongo wanaishia kupanic sana maana wanajua hawatatoboa.
 
Mkuu ahsante, samahani na swali lingine, kwa hiyo nikiwa na line ya tigo hakuna haja ya kuwa na router wala kununua hizo line za router?
Itategemea na matumizi yako sasa, kama ni simu Tu huna haja ya router, kama una vifaa vingi ndani, TV, desktop etc utahitaji router hata kama sio ya Yas
 
Nunua sim card za postpaid, huwa zina unlimited data cap hadi 1TB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…