Kwani mngegomea, mngepungukiwa na nini?

Kwani mngegomea, mngepungukiwa na nini?

Kwa huu upuuzi walio ufanya 2015
images (23).jpeg

CCM ataendelea kutawala kila siku,kwani haya ya leo yalianzia hapa.
 
Niseme mara ngapi ilhali nishasema tokea 2010???

Nyie endeleeni tu kushiriki hizo chaguzi.

2025 nendeni na Shangazi.

2030 nendeni na Mange.
Ngabu siyo wewe tu. Hata mimi miaka yote nimekuwa nasema bila tume huru hakuna uchaguzi huru. Hili wala halihitaji logic kujua na wala sikubishii hata kidogo. Ila hoja yangu ni hii: CCM inajua kabisa kete yake ya ushindi iko kwenye tume hivyo jambo la mwisho watakalofanya ni kukubali kuweka tume huru.

Wewe ni shahidi jinsi kadiri siku zinavyoenda wanavyoongeza vipengele kwenye sheria za uchaguzi ili tu kuwabana wapinzani. Kwa kifupi ni kuwa CCM nyenzo yake iliyobaki sasa hivi ni tume na wanajua pasi na shaka kuwa wakiifanya iwe huru ndiyo mwisho wao. Kwa hiyo nakubali jambo la kudai tume huru ni muhimu lakini nauliza Watanzania walivyo waoga utawaingizaje mitaani kudai tume huru?

Na ukisusia uchaguzi wataweka upinzani bandia hivyo hali haitabadilika. Wewe huoni logic ya kushiriki kwenye uchaguzi halafu matokeo yanapoporwa chance ya kuingia mitaani angalau inaweza kuwepo? Wewe unaona njia bora ya kudai baada ya kususia uchaguzi ni ipi?
 
Kweli kabisa, lakini sometimes we have to learn in hard way. Mashabiki maandazi labda watapungua turudi kujadili mustakabali wa Taifa letu bila mihemuko.

Upinzani hadi sasa wanashindwa kusimamisha wagombea majimbo yote, hili nani alaumiwe? Just a simple case, lazima tufahamu haitokuja siku CCM watawapa fair platform.

Kelele za JF na Tweeter huwadanganya sana kama vile zitageuka kura. Baada ya uchaguzi huu, kama wataingia tena awamu ijayo na mguu ule ule kama walivyopuuza maoni yetu baada ya zile blunders za 2015 watakula kisago kile kile.
Acha kukariri jamaa, uchaguzi huu upinzani kura za maoni walikuwa na wagombea Kata zote na majimbo yote, figisu za NEC ndo zinakufanya uone upinzani hauna uwezo wa kusimamisha wagombea nchi nzima?
 
Kugomea uchaguzi wasingekua na ushahidi wowote kwamba uchaguzi si wa huru na haki mbele ya watu na international community.

Kushiriki kumethibitisha tume si huru na pia Magufuli is another level of crazy.

Pia, amefanikiwa kupanda mbegu za chuki kwa kuiiba kura / haki za watu.
 
Magufuli ana roho mbaya sijapata kuona. Walimwita JK dhaifu. Kweli Magufuli sasa atakuwa Rais wa maisha ila wananchi wajiandae kulia.
Wewe pekee ndio nimeona unamaanisha unachoandika, hayo mengine yanajidai kutoa ushauri wa kinafiki huku moyoni yanafurahia hii situation.
 
Kugomea uchaguzi wasingekua na ushahidi wowote kwamba uchaguzi si wa huru na haki mbele ya watu na international community.

Kushiriki kumethibitisha tume si huru na pia Magufuli is another level of crazy.
Sio kila wazee wana hekima au akili kiongozi wangu kuna wengineni ni wapumbavu nao wamezeeka.
 
Kugomea uchaguzi wasingekua na ushahidi wowote kwamba uchaguzi si wa huru na haki mbele ya watu na international community.

Kushiriki kumethibitisha tume si huru na pia Magufuli is another level of crazy.
Really?

Huu uchaguzi ndo umethibitisha kwamba tume si huru?

Umezaliwa mwaka gani wewe?
 
Hivi ni vyama vya waganga njaa, hawapiganii values. Wanatafuta ruzuku. Wakigoma hawapati ruzuku, ndio maana wanajitutumua angalau wapate chochote kitu.
Vipi wale wanaokimbia fani zao wanaenda CCM kutafuta ubunge, who are they?!

Hoja yako fake, kama CCM hawana njaa kwanini wasipunguze kiasi cha ruzuku wanachopata?
 
Hiki ulichoandika hapa kinaonyesha jinsi ulivyo ZERO BRAIN. Unajadili vipi mustakabali wa Taifa na dikteta asiyetaka mawazo mbadala wala kushauriwa na kishasema hadharani yeye hashauriki!?😳
Kweli kabisa, lakini sometimes we have to learn in hard way. Mashabiki maandazi labda watapungua turudi kujadili mustakabali wa Taifa letu bila mihemuko.

Upinzani hadi sasa wanashindwa kusimamisha wagombea majimbo yote, hili nani alaumiwe? Just a simple case, lazima tufahamu haitokuja siku CCM watawapa fair platform.

Kelele za JF na Tweeter huwadanganya sana kama vile zitageuka kura. Baada ya uchaguzi huu, kama wataingia tena awamu ijayo na mguu ule ule kama walivyopuuza maoni yetu baada ya zile blunders za 2015 watakula kisago kile kile.
 
2025 Chadema twendeni na anti Tuma.

lakini kama JPM ajaonganisha miaka mingine 5,jumla ikawa 10.
akionganisha amtoboi mpaka atoke aje mwingine.
 
Acha kukariri jamaa, uchaguzi huu upinzani kura za maoni walikuwa na wagombea Kata zote na majimbo yote, figisu za NEC ndo zinakufanya uone upinzani hauna uwezo wa kusimamisha wagombea nchi nzima?
Hujui usemalo...
 
Mimi niliwaambia wenzangu siwezi kushiriki ubatili. Jana nimekaa kwenye mabanda yangu ya kuku.
 
Really?

Huu uchaguzi ndo umethibitisha kwamba tume si huru?

Umezaliwa mwaka gani wewe?
Wewe nimekuuliza asubuhi ukakimbia, now nakuuliza tena;

Kama unaona kugoma ndio solution, mbona Seif aligoma Znz maisha yakaendelea? na mbona wapinzani waligoma S/M last year mambo yakaendelea?

Huoni huo utetezi wako ni wa kitoto, unataka wagome kila mwaka wa uchaguzi mwisho wake uwe nini?

Wewe unaejidai mpenda demokrasia umetoa mchango gani kwenye hili?au ndio unashikilia hoja moja tu; WAGOME, kitu kilichokuwa proved wrong over and over again!

Ningekuona wa maana kama atlist ungekuwa na idea tofauti ya kutafuta Katiba Mpya, unavyoendelea kushikilia wagome we ni kilaza tu.
 
Back
Top Bottom