Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Hujawahi kuwa mzima weweDuh!
Huu utaratibu wa kuziweka pending hizi threads mpya unaboa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujawahi kuwa mzima weweDuh!
Huu utaratibu wa kuziweka pending hizi threads mpya unaboa sana.
So sad!
Ngabu siyo wewe tu. Hata mimi miaka yote nimekuwa nasema bila tume huru hakuna uchaguzi huru. Hili wala halihitaji logic kujua na wala sikubishii hata kidogo. Ila hoja yangu ni hii: CCM inajua kabisa kete yake ya ushindi iko kwenye tume hivyo jambo la mwisho watakalofanya ni kukubali kuweka tume huru.Niseme mara ngapi ilhali nishasema tokea 2010???
Nyie endeleeni tu kushiriki hizo chaguzi.
2025 nendeni na Shangazi.
2030 nendeni na Mange.
Acha kukariri jamaa, uchaguzi huu upinzani kura za maoni walikuwa na wagombea Kata zote na majimbo yote, figisu za NEC ndo zinakufanya uone upinzani hauna uwezo wa kusimamisha wagombea nchi nzima?Kweli kabisa, lakini sometimes we have to learn in hard way. Mashabiki maandazi labda watapungua turudi kujadili mustakabali wa Taifa letu bila mihemuko.
Upinzani hadi sasa wanashindwa kusimamisha wagombea majimbo yote, hili nani alaumiwe? Just a simple case, lazima tufahamu haitokuja siku CCM watawapa fair platform.
Kelele za JF na Tweeter huwadanganya sana kama vile zitageuka kura. Baada ya uchaguzi huu, kama wataingia tena awamu ijayo na mguu ule ule kama walivyopuuza maoni yetu baada ya zile blunders za 2015 watakula kisago kile kile.
You’re welcome, ho!Thank you cபnt 😏
Wewe pekee ndio nimeona unamaanisha unachoandika, hayo mengine yanajidai kutoa ushauri wa kinafiki huku moyoni yanafurahia hii situation.Magufuli ana roho mbaya sijapata kuona. Walimwita JK dhaifu. Kweli Magufuli sasa atakuwa Rais wa maisha ila wananchi wajiandae kulia.
Jamaa nafiki sana.Wewe ni fala, huu Uchaguzi umekuexpose wewe na umemexpose Magufuli, mbele ya Uso wa dunia nyinyi ni mbwa tu...skunk Of the World, mbwa wanukao
Sidhani kama atakuwa Rais wa maisha.
Ataindoka 2025.
Ila atahakikisha anamweka mtu wake.
Sio kila wazee wana hekima au akili kiongozi wangu kuna wengineni ni wapumbavu nao wamezeeka.Kugomea uchaguzi wasingekua na ushahidi wowote kwamba uchaguzi si wa huru na haki mbele ya watu na international community.
Kushiriki kumethibitisha tume si huru na pia Magufuli is another level of crazy.
Really?Kugomea uchaguzi wasingekua na ushahidi wowote kwamba uchaguzi si wa huru na haki mbele ya watu na international community.
Kushiriki kumethibitisha tume si huru na pia Magufuli is another level of crazy.
Vipi wale wanaokimbia fani zao wanaenda CCM kutafuta ubunge, who are they?!Hivi ni vyama vya waganga njaa, hawapiganii values. Wanatafuta ruzuku. Wakigoma hawapati ruzuku, ndio maana wanajitutumua angalau wapate chochote kitu.
Kweli kabisa, lakini sometimes we have to learn in hard way. Mashabiki maandazi labda watapungua turudi kujadili mustakabali wa Taifa letu bila mihemuko.
Upinzani hadi sasa wanashindwa kusimamisha wagombea majimbo yote, hili nani alaumiwe? Just a simple case, lazima tufahamu haitokuja siku CCM watawapa fair platform.
Kelele za JF na Tweeter huwadanganya sana kama vile zitageuka kura. Baada ya uchaguzi huu, kama wataingia tena awamu ijayo na mguu ule ule kama walivyopuuza maoni yetu baada ya zile blunders za 2015 watakula kisago kile kile.
Hujui usemalo...Acha kukariri jamaa, uchaguzi huu upinzani kura za maoni walikuwa na wagombea Kata zote na majimbo yote, figisu za NEC ndo zinakufanya uone upinzani hauna uwezo wa kusimamisha wagombea nchi nzima?
Really?
Huu uchaguzi ndo umethibitisha kwamba tume si huru?
Umezaliwa mwaka gani wewe?
Wewe nimekuuliza asubuhi ukakimbia, now nakuuliza tena;Really?
Huu uchaguzi ndo umethibitisha kwamba tume si huru?
Umezaliwa mwaka gani wewe?