Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Kumponda JPM ndio njia pekee ya majizi yote sasa kuitumia ili kuhalalisha wizi na ufisadi!
Bahati mbaya kabisa, yanalazimisha nchi na wananchi iwasikilize na kuwaunga mkono kwenye biti zao za uwongo za kuhalalisha uwizi na ufisadi, mamaah! Waliowengi wako upande wa wasiompenda JPM R.I.P
Enyi mafisadi mliopiga b61 kulipana posho, mnadhani kwamba muda huu mfupi tumemsahau kabisa JPM Kwa alivyonyofoa nyofoa cheni yenu ya majambazi ya nchi hii na kuwatupa nje?
Mliutumia vema msamiati wa nchi yetu ni masikini mkafauru, mkawa mnagawana tu kila kilichokuwa kikipatikana wengine MNA Mali nyingi nje kuliko mlizonazo nchini utazani ni wazaliwa wa huko na msjue hammunufaishi mtanzania yoyote isipokuwa ni huko, Mali za watanzania mnahamisha tuu, mnawaachia nini vitukuu vyenu!
JPM akakaanusha Kwa nguvu zote kuwa Tanzania, sio masikini isipokuwa wananchi wake ndio masikini, na alivalia njuga hilo ili kutumia vema rasilimali zetu ili kuondoa umasikini wa mwananchi mmojammoja na ingawa hakufikia, lakini mwelekeo wake tuliuona Kwa macho yetu
Miradi mikubwa yenye lengo ya kupunguza ukali wa maisha akaianzisha, na kila mtu akaduwaa, na hata nyinyi mafisadi mliduwaa kwamba inawezekanaje miradi mingi mikubwa kujengwa tena Kwa mkupuo?
Sasa mmeanza tena kutuhadaa eti hatuwezi kujitegemea, na kila kazi iliyofanywa na serikali awamu ya tano ni batiri na hasara
Mnatuonaje? Mnatuonaje? Kwamba ni nyiny tuu mlio na akili wengine ni zero??
Nuwashauri, mnaweza kuiba tuu bila kuzodoa kazi nzuri za JPM, kwani, shule mlizopita, ndio hizohizo tulizopita, tofauti ni kwamba, nyie mpo hapo juu kuukubali ukweli kwamba, kila jambo linawakati wake, na wakati wa wengine kuwepo hapo utawadia na nyie mkiwa na wakati mwingine kabisa