Kwani ni lazima kwa kila anayetaka kuiba amponde kwanza Hayati Magufuli!!? Si muibe tuu

Uwa na nashangaa watu wanavyomsifu huyu Jpm.? I think Kuna watu there are still in dug grave
 
Hadi panya rodi wame funguliwa nchi...[emoji1787]
Ila royo tua naona imenoga...[emoji23]
Latra wametangaza rasmi kupanda bei za nauli...[emoji29]
Ila siku zinaenda kasi sana R.i.P Pombe
Mama anaupiga mwingi. Huyu ndio Chui Jike/ chief Hangaya.

Majizi yametamalaki mitaani chini ya uongozi shupavu na mahiri wa mama samia suluhu Hassan.

Wapi sukuma gang?

Anaupiga mwingi mpaka unatoboka.
 
Kumponda JPM ndio njia pekee ya majizi yote sasa kuitumia ili kuhalalisha wizi na ufisadi!

Bahati mbaya kabisa, yanalazimisha nchi na wananchi iwasikilize na kuwaunga mkono kwenye biti zao za uwongo za kuhalalisha uwizi na ufisadi, mamaah! Waliowengi wako upande wa wasiompenda JPM R.I.P

Enyi mafisadi mliopiga b600 kulipana posho, mnadhani kwamba muda huu mfupi tumsahau kabisa JPM Kwa alivyonyofoa nyofoa cheni yenu ya majambazi ya nchi hii na kuwatupa nje?

Mliutumia vema msamiati wa nchi yetu ni masikini mkafauru, mkawa mnagawana tu kila kilichokuwa kikipatikana wengine MNA Mali nyingi nje kuliko mlizonazo nchini utazani ni wazaliwa wa huko na msjue hammunufaishi mtanzania yoyote isipokuwa ni huko, Mali za watanzania mnahamisha tuu, mnawaachia nini vitukuu vyenu!

JPM akakaanusha Kwa nguvu zote kuwa Tanzania, sio masikini isipokuwa wananchi wake ndio masikini, na alivalia njuga hilo ili kutumia vema rasilimali zetu ili kuondoa umasikini wa mwananchi mmojammoja na ingawa hakufikia, lakini mwelekeo wake tuliuona Kwa macho yetu

Miradi mikubwa yenye lengo ya kupunguza ukali wa maisha akaianzisha, na kila mtu akaduwaa, na hata nyinyi mafisadi mliduwaa kwamba inawezekanaje miradi mingi mikubwa kujengwa tena Kwa mkupuo?

Sasa mmeanza tena kutuhadaa eti hatuwezi kujitegemea, na kila kazi iliyofanywa na serikali awamu ya tano ni batiri na hasara

Mnatuonaje? Mnatuonaje? Kwamba ni nyiny tuu mlio na akili wengine ni zero??

Nuwashauri, mnaweza kuiba tuu bila kuzodoa kazi nzuri za JPM, kwani, shule mlizopita, ndio hizohizo tulizopita, tofauti ni kwamba, nyie mpo hapo juu kuukubali ukweli kwamba, kila jambo linawakati wake, na wakati wa wengine kuwepo hapo utawadia na nyie mkiwa na wakati mwingine kabisa
Sasa mbona jpm ndo alikuwa mwizi kuliko hao unawahisi
 
Mafisadi wametamalaki kwa sasa. Katiba mpya ndio suluhu
 
Back
Top Bottom