Kwani ni lazima kwa kila anayetaka kuiba amponde kwanza Hayati Magufuli!!? Si muibe tuu

Basi kaa kimya Kwa sababu hujui
Unawasingizia tu. Kama wengekuwa wezi wangekuw jela mpaka Sasa. Hata wale aliowasingizia jpm wote wametoka kwa kukosa ushahidi. Mfano rugemalila na seth.

Shida yenu mliaminishwa uongo kuwa kila tajiri ni mwizi na kumchukia tajiri eti huo ndo uzalendo.
 
Mkuu, ukiacha ushabiki, hutamtetea Seth wala luge

Nchi ya wapenda fedha kuliko haki utaniambia nini mkuu
 
Amini utakavyo amini ila uhuru wa habari ni zaidi ya silaha ya nuclear,ikitumika vizuri ni neema,ikumiwa vibaya ni hasara/maangamizi
Kwa kweli ilikuwa hasara/maangamizi. Vyombo vya habari vikawa ni kwa ajili ya mapambio tu.
 
Ukweli unauma, kuna madhara makubwa kama utawaziba watu midomo.
 
Mara mseme madaraja mabovu..

Kumbe nia yenu ni kuiba, hamuwezi kuiba tuu bila kutumia njia ya kumponda huyu mwamba JPM?
 
Afadhali hawa VIROBOTO wataelewa maana hii project inaendeshwa na bibi yao lakini itafeli maana sisi tuliojitolea kuzikwa pembeni ya kaburi la J.P.M hatutawaacha hawa vbwengo
 
Inasikitisha sana!

Na hapo watasema eti JPM alituhadaa hakukuwa na usalama enzi zake, panya road walikuwepo ila hakukuwa na uwazi, wandishi wa habari hawakuruhusiwa kuripot tarifa hizi!
Hahahaha viroboto watasema nn hapo hawana chochote
 
Mama anaupiga mwingi. Huyu ndio Chui Jike/ chief Hangaya.

Majizi yametamalaki mitaani chini ya uongozi shupavu na mahiri wa mama samia suluhu Hassan.

Wapi sukuma gang?

Anaupiga mwingi mpaka unatoboka.
Nimekuelewa mkuu chifu hangaya anaupiga mwingi hadi hamesahau mpira anaupeleka wapi hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…