Kwani ni lazima kwa kila anayetaka kuiba amponde kwanza Hayati Magufuli!!? Si muibe tuu

Ivi walisema hao mabwana zako ni wezi ni serikali au ni wananchi kupitia bunge kiroboto kuwa na akili hata kidogo
 
Jpm alimfukuza CAG baada niambiwa katiba 1.5 tril
 
Sahivi watu wanaiba waziwazi bila kificho
 
2015 mpaka 2020 ni kwamba jizi kuu lilifanikisha kuzibiti wezi wadogo wadogo....
 
Hukusikia Richmond pamoja escrow kuwa hela zilichotwa hadi kwenye sandarus
Halafu pesa mpaka Sasa wamezipeleka wapi. Jpm alikuwaanajichotea tu. Kama hujua za hawa wa escrow zilipo ndovyo hivyohivyo hujua za jpm zilipo
 

Shetani lazima akemewe popote pale.
 
Kama mpaka 2015 bado macho yko yalikuwa yamefunga, basi mpaka sasa ww ni kipofu bali umeshiba propaganda za Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…