Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Tunataka Makamu wa Rais mwenye kufuata dini za jadiNaona watu wanasema makamu wa Rais awe mkataliki je ni lazima makamu wa Rais awe mkatoliki
Unajua watu wanawatuhumu wazanzibar kwamba wana nepotism ila hakuna watu wanaubaguzi kama wakatoliki huwa wanadhani wana umuhimu kuliko madhehebu mengine ya kikristo
Leo hii mtu anakuambia makamu wa Rais mpya lazima awe mkatoliki serious zama hizi kweli unaongea pumba kama hii akishakuwa mkatoliki wewe mkatoliki inakuongezea nini
Kama nchi kuna taboo za kuacha hazina faida yeyote ile
Hata Mimi natala hivyo,Tunataka Makamu wa Rais mwenye kufuata dini za jadi
Eee lazima izingatiwe. Raisi Bwakata, waziri mkuu KKKT, spika Bakwata, jaji mkuu Msabato. Hapo unaona Kuna vacuum fulaniNaona watu wanasema makamu wa Rais awe mkataliki je ni lazima makamu wa Rais awe mkatoliki
Unajua watu wanawatuhumu wazanzibar kwamba wana nepotism ila hakuna watu wanaubaguzi kama wakatoliki huwa wanadhani wana umuhimu kuliko madhehebu mengine ya kikristo
Leo hii mtu anakuambia makamu wa Rais mpya lazima awe mkatoliki serious zama hizi kweli unaongea pumba kama hii akishakuwa mkatoliki wewe mkatoliki inakuongezea nini
Kama nchi kuna taboo za kuacha hazina faida yeyote ile
Naona watu wanasema makamu wa Rais awe mkataliki je ni lazima makamu wa Rais awe mkatoliki
Unajua watu wanawatuhumu wazanzibar kwamba wana nepotism ila hakuna watu wanaubaguzi kama wakatoliki huwa wanadhani wana umuhimu kuliko madhehebu mengine ya kikristo
Leo hii mtu anakuambia makamu wa Rais mpya lazima awe mkatoliki serious zama hizi kweli unaongea pumba kama hii akishakuwa mkatoliki wewe mkatoliki inakuongezea nini
Kama nchi kuna taboo za kuacha hazina faida yeyote ile
Tunataka Makamu wa Rais mwenye kufuata dini za
ChaiNaona watu wanasema makamu wa Rais awe mkataliki je ni lazima makamu wa Rais awe mkatoliki
Unajua watu wanawatuhumu wazanzibar kwamba wana nepotism ila hakuna watu wanaubaguzi kama wakatoliki huwa wanadhani wana umuhimu kuliko madhehebu mengine ya kikristo
Leo hii mtu anakuambia makamu wa Rais mpya lazima awe mkatoliki serious zama hizi kweli unaongea pumba kama hii akishakuwa mkatoliki wewe mkatoliki inakuongezea nini
Kama nchi kuna taboo za kuacha hazina faida yeyote ile
Yericko Nyerere atauza nchi hafaiYericko Nyerere yupo au hata Ndugu yetu Mshana wanafaha kabisa😃