Kwani ni lazima Makamu mpya wa Rais awe mkatoliki?

Naona watu wanasema makamu wa Rais awe mkataliki je ni lazima makamu wa Rais awe mkatoliki

Unajua watu wanawatuhumu wazanzibar kwamba wana nepotism ila hakuna watu wanaubaguzi kama wakatoliki huwa wanadhani wana umuhimu kuliko madhehebu mengine ya kikristo

Leo hii mtu anakuambia makamu wa Rais mpya lazima awe mkatoliki serious zama hizi kweli unaongea pumba kama hii akishakuwa mkatoliki wewe mkatoliki inakuongezea nini

Kama nchi kuna taboo za kuacha hazina faida yeyote ile
shida ya kupanic hivi ni nini?
 
Mleta mada ni mlokole wa kutupwa, hivyo anaposikia watu wanatabiri watu ambao ni wakatoliki, kwamba wanauwezekano wa kuwa makamu wa Rais, basi yeye anapandwa tu mapepo wachafu.
 
Naona watu wanasema makamu wa Rais awe mkataliki je ni lazima makamu wa Rais awe mkatoliki

Wakatoliki wanajikutaga wao ni watu wa muhimu sana kuliko madhehebu mengine ya wakristo

Unajua watu wanawatuhumu wazanzibar kwamba wana nepotism ila hakuna watu wanaubaguzi kama wakatoliki huwa wanadhani wana umuhimu kuliko madhehebu mengine ya kikristo

Leo hii mtu anakuambia makamu wa Rais mpya lazima awe mkatoliki serious zama hizi kweli unaongea pumba kama hii akishakuwa mkatoliki wewe mkatoliki inakuongezea nini

Kama nchi kuna taboo za kuacha hazina faida yeyote ile
Awe mkristo ndio muhimu,sio lazima awe mkatoliki
 
Wanasema ni lazima awe mkatoliki
Haipo hivyo inatakiwa mgawanyo wa bara na visiwani na si dini na dini fulani. Ikitokea Rais akawa wa bara basi makamu anatoka kisiwani, ikitokea Rais akawa wa visiwani basi makamu ni wa bara bila kujaki dini.

Mfululizo wa Marais ndiyo kuna dini akitokea huku wa dini hii ajaye ni wa dini nyingine. Toka nchi haijawahi kutokea marais wa dini moja wakafuatana kiawamu
 
Naona watu wanasema makamu wa Rais awe mkataliki je ni lazima makamu wa Rais awe mkatoliki

Wakatoliki wanajikutaga wao ni watu wa muhimu sana kuliko madhehebu mengine ya wakristo

Unajua watu wanawatuhumu wazanzibar kwamba wana nepotism ila hakuna watu wanaubaguzi kama wakatoliki huwa wanadhani wana umuhimu kuliko madhehebu mengine ya kikristo

Leo hii mtu anakuambia makamu wa Rais mpya lazima awe mkatoliki serious zama hizi kweli unaongea pumba kama hii akishakuwa mkatoliki wewe mkatoliki inakuongezea nini

Kama nchi kuna taboo za kuacha hazina faida yeyote ile
Acha uchochezi wa kidini wewe.
 
Hapana sa hiv ni Mm na nasali EAGT
 
Back
Top Bottom