Kwani ni lazima Makamu mpya wa Rais awe mkatoliki?

Naona watu wanasema makamu wa Rais awe mkataliki je ni lazima makamu wa Rais awe mkatoliki

Wakatoliki wanajikutaga wao ni watu wa muhimu sana kuliko madhehebu mengine ya wakristo

Unajua watu wanawatuhumu wazanzibar kwamba wana nepotism ila hakuna watu wanaubaguzi kama wakatoliki huwa wanadhani wana umuhimu kuliko madhehebu mengine ya kikristo

Leo hii mtu anakuambia makamu wa Rais mpya lazima awe mkatoliki serious zama hizi kweli unaongea pumba kama hii akishakuwa mkatoliki wewe mkatoliki inakuongezea nini

Kama nchi kuna taboo za kuacha hazina faida yeyote ile
Sio lazima anaweza kuwa wa dini yoyote
 
Makafir yote yanapenda kujiona ni super human
Makafir ya kibongo yanajifananisha na
 
Attachments

  • downloadfile-22.png
    downloadfile-22.png
    821.8 KB · Views: 6
Si kuna waangalikana na walutheri? Basi waangazie kwa wasabato na wapentekoste
 
Naona watu wanasema makamu wa Rais awe mkataliki je ni lazima makamu wa Rais awe mkatoliki

Wakatoliki wanajikutaga wao ni watu wa muhimu sana kuliko madhehebu mengine ya wakristo

Unajua watu wanawatuhumu wazanzibar kwamba wana nepotism ila hakuna watu wanaubaguzi kama wakatoliki huwa wanadhani wana umuhimu kuliko madhehebu mengine ya kikristo

Leo hii mtu anakuambia makamu wa Rais mpya lazima awe mkatoliki serious zama hizi kweli unaongea pumba kama hii akishakuwa mkatoliki wewe mkatoliki inakuongezea nini

Kama nchi kuna taboo za kuacha hazina faida yeyote ile
Tupate wapagani sasa

Hizi dini zimekua machaka makuu ya unnecessary leadership qualification criteria
 
Sio lazima awe Mkatoliki
Mzee Jakaya Mrisho Kikwete hakuwa na Makamu Mkristo kabisa wote Waislamu 👈

Muhimu ukanda kwasasa lazima tu atokee Bara ndio
Muhimu zaidi👈

ni wakati wa Madhehebu mengine kuchangamka
Kuelewa miundo ya Utawala
Wkt wa Rais ni Waislam ndio wakataki wenu nyinyi madhehebu mengine kupata WAKUU mbali mbali

Kelele za Wakatoliki mnatakiwa kuzipuuza nyinyi 🫎🫎👈

Chunguzeni wakubwa sasa kutokea wapi kisha piga kimyaaa simama na Rais yoyote muislamu mana ndio tumaini la Madhehebu mengine

Mngeelewa ilo mapema Mo29 isingekuwepo❌️

masikitiko yangu wamekufa vijana wengi wa KKKT
Kilio cha Wakatoliki wafe KKKT ❌️

Kilio chao kinatokana na fagio la Rais Dk Samia Suluhu Hassan mwisho wanufaika ni Waislam na Madhehebu yote mengine👈

Wanatolewa Wakatoliki mnawekwa nyinyi kuliponya Taifa 👈

Manake 2030 watajazana upyaa kila kona na bila aibu yoyote usoni kwao kipindi icho ni Ukatoliki kwanza wengine pisheni tu😡😡

MADHEHEBU mengine yanakosea sana kusikiliza na kufaata maelekezo ya kanisa katoliki❌️

jipambanueni
nanyinyi mnaweza na mnaweza kutumia Akili zenu kung'amua mambo💪

kiongozi wa Nchi kaja kwenye Kanisa lenu onesheni upendo mkubwa kwake tena sana 👈

VIONGOZI wa Kiislamu wamewabeba sana Madhehebu mengi
Lkn shuklan zenu kwao O

Badala yake mnaungana na adui yenu kwa pamoja kumsakama Rais muislamu ❌️❌️❌️❌️❌️❌️❌️❌️❌️❌️❌️❌️❌️❌️❌️❌️❌️❌️❌️❌️❌️❌️❌️❌️❌️❌️❌️❌️
Elimikeni ndugu mwembie na mwenzio punguza ujinga ndugu nchi yetu sote hii 👈

kwanzia sasa kufikia 2030 mtaona kwa
macho yenu👈

miaka ijayo msiyumbe
kama sasa mmezingua sana mkiona Rais ni Muislamu mjue ni wakati wenu pamoja
kuongoza nchi hii✅️

ukisikia mtu anakwambia Rais anapendelea Waislamu❗️
mwambie wewe Pepo chafu
tokaaa✍️
 
Siyo lazima mbona kikwete aliweza kuwa na VP wa dini yake ambaye ni Bilal Mohamed Gharibu
 
Naona watu wanasema makamu wa Rais awe mkataliki je ni lazima makamu wa Rais awe mkatoliki

Wakatoliki wanajikutaga wao ni watu wa muhimu sana kuliko madhehebu mengine ya wakristo

Unajua watu wanawatuhumu wazanzibar kwamba wana nepotism ila hakuna watu wanaubaguzi kama wakatoliki huwa wanadhani wana umuhimu kuliko madhehebu mengine ya kikristo

Leo hii mtu anakuambia makamu wa Rais mpya lazima awe mkatoliki serious zama hizi kweli unaongea pumba kama hii akishakuwa mkatoliki wewe mkatoliki inakuongezea nini

Kama nchi kuna taboo za kuacha hazina faida yeyote ile
Una hiyo ripoti ya utafiti wako? Huo ni upotoshaji tu, anaweza kuwa msabato. Mwl. J.k Nyerere hakuwahi kuzingatia huo upuuzi. Ni Rais tu mwoga asiyejiamini atazingatia huo upuuzi.
 
Achaguliwe hata muhindi maana wapo raia wa kitanzania ambao ni wahindi/singasinga, mchina na mzungu sijui kama wapo
 
Naona watu wanasema makamu wa Rais awe mkataliki je ni lazima makamu wa Rais awe mkatoliki

Wakatoliki wanajikutaga wao ni watu wa muhimu sana kuliko madhehebu mengine ya wakristo

Unajua watu wanawatuhumu wazanzibar kwamba wana nepotism ila hakuna watu wanaubaguzi kama wakatoliki huwa wanadhani wana umuhimu kuliko madhehebu mengine ya kikristo

Leo hii mtu anakuambia makamu wa Rais mpya lazima awe mkatoliki serious zama hizi kweli unaongea pumba kama hii akishakuwa mkatoliki wewe mkatoliki inakuongezea nini

Kama nchi kuna taboo za kuacha hazina faida yeyote ile
Ni majinga sana hayo majitu, na yasipeww tena madaraka makubwa,bora wapewe watu dhehebu la KKT kuliko hawa wakatoliki,machafuko yote source ni wao..
 
Naona watu wanasema makamu wa Rais awe mkataliki je ni lazima makamu wa Rais awe mkatoliki

Wakatoliki wanajikutaga wao ni watu wa muhimu sana kuliko madhehebu mengine ya wakristo

Unajua watu wanawatuhumu wazanzibar kwamba wana nepotism ila hakuna watu wanaubaguzi kama wakatoliki huwa wanadhani wana umuhimu kuliko madhehebu mengine ya kikristo

Leo hii mtu anakuambia makamu wa Rais mpya lazima awe mkatoliki serious zama hizi kweli unaongea pumba kama hii akishakuwa mkatoliki wewe mkatoliki inakuongezea nini

Kama nchi kuna taboo za kuacha hazina faida yeyote ile
Sio kweli. Nani amekuambia? Hapo umemsikia umemsikia mtu mmoja anakuambia hiyo pumba, tayari na wewe umegeneraise.
 
Back
Top Bottom