MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
1% ya Wazanzibari ni watu wangapi?99% ya wazanzibar ni muslims.
% ipi ilikuwa na nafasi kubwa ya kumpa Kikwete VP kati ya 99% na 1%

Wasabato ni watu hatari Sana wakishika madaraka, mifano tumeionaNaona watu wanasema makamu wa Rais awe mkataliki je ni lazima makamu wa Rais awe mkatoliki
Wakatoliki wanajikutaga wao ni watu wa muhimu sana kuliko madhehebu mengine ya wakristo
Unajua watu wanawatuhumu wazanzibar kwamba wana nepotism ila hakuna watu wanaubaguzi kama wakatoliki huwa wanadhani wana umuhimu kuliko madhehebu mengine ya kikristo
Leo hii mtu anakuambia makamu wa Rais mpya lazima awe mkatoliki serious zama hizi kweli unaongea pumba kama hii akishakuwa mkatoliki wewe mkatoliki inakuongezea nini
Kama nchi kuna taboo za kuacha hazina faida yeyote ile
Anachokoza mada tuChai
Hakuna mkatoliki mbaguzi, wewe mbuzi meeee.
Wakati wa Kikwete Makamu wa Rais walikuwa Dr. Shein na G. Billal kwa sababu Kikwete alikuwa Rais kutoka bara na Makamu wake ni lazima watoke Zanzibar.Sio lazima
Kwa hyo unataka tukusaidie nini mheshimiwa
Ongeza juhudi za kutafuta maisha upunguze makasiriko😃Wakatoliki wanajikutaga wao ni watu wa muhimu sana kuliko madhehebu mengine ya wakristo
Kwani ni lazima kila rais wa kiislamu awe msuni?Naona watu wanasema makamu wa Rais awe mkataliki je ni lazima makamu wa Rais awe mkatoliki