The-unknown
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 1,704
- 1,984
shida ya kupanic hivi ni nini?Naona watu wanasema makamu wa Rais awe mkataliki je ni lazima makamu wa Rais awe mkatoliki
Unajua watu wanawatuhumu wazanzibar kwamba wana nepotism ila hakuna watu wanaubaguzi kama wakatoliki huwa wanadhani wana umuhimu kuliko madhehebu mengine ya kikristo
Leo hii mtu anakuambia makamu wa Rais mpya lazima awe mkatoliki serious zama hizi kweli unaongea pumba kama hii akishakuwa mkatoliki wewe mkatoliki inakuongezea nini
Kama nchi kuna taboo za kuacha hazina faida yeyote ile
99% ya wazanzibar ni muslims.Siyo lazima. Kikwete ni mwislam ila alishawahi kuwa na makamu wawili kwa nyakati tofauti na wote walikuwa waislamu. Shein na Bilal.
Usalama wa Taifa wanamjua na mhusika anajijua.Hata Mimi natala hivyo,
Swali je ni nani huyo?
Hizi habari za udini kwenye uongozi hamuoni kama ni upumbavu?Mleta mada ni mlokole wa kutupwa, hivyo anaposikia watu wanatabiri watu ambao ni wakatoliki, kwamba wanauwezekano wa kuwa makamu wa Rais, basi yeye anapandwa tu mapepo wachafu.
Wakatoliki wanajikutaga wao ni watu wa muhimu sana muliko madhehebu mengineChai
Hakuna mkatoliki mbaguzi, wewe mbuzi meeee.
Hazifai, lakini akina mleta mada wanayaingiza sana.Hizi habari za udini kwenye uongozi hamuoni kama ni upumbavu?
Awe mkristo ndio muhimu,sio lazima awe mkatolikiNaona watu wanasema makamu wa Rais awe mkataliki je ni lazima makamu wa Rais awe mkatoliki
Wakatoliki wanajikutaga wao ni watu wa muhimu sana kuliko madhehebu mengine ya wakristo
Unajua watu wanawatuhumu wazanzibar kwamba wana nepotism ila hakuna watu wanaubaguzi kama wakatoliki huwa wanadhani wana umuhimu kuliko madhehebu mengine ya kikristo
Leo hii mtu anakuambia makamu wa Rais mpya lazima awe mkatoliki serious zama hizi kweli unaongea pumba kama hii akishakuwa mkatoliki wewe mkatoliki inakuongezea nini
Kama nchi kuna taboo za kuacha hazina faida yeyote ile
Wanasema ni lazima awe mkatolikiMakamu ni lazima atoke bara tu, haijalishi ni dini gani
Ninyi nani kawanyima mjikute?Wakatoliki wanajikutaga wao ni watu wa muhimu sana muliko madhehebu mengine
Sasa kwani kuna ubaya gani wao wakijikutaga hivyo?Wakatoliki wanajikutaga wao ni watu wa muhimu sana muliko madhehebu mengine
Mchape na maji ya Baraka huyo jamaa.Ninyi nani kawanyima mjikute?
Pepo mchafu ni mbaya sana aisee!
Haipo hivyo inatakiwa mgawanyo wa bara na visiwani na si dini na dini fulani. Ikitokea Rais akawa wa bara basi makamu anatoka kisiwani, ikitokea Rais akawa wa visiwani basi makamu ni wa bara bila kujaki dini.Wanasema ni lazima awe mkatoliki
Huyu novena inamhusu kabisa.Mchape na maji ya Baraka huyo jamaa.
Upuuzi!Hazifai, lakini akina mleta mada wanayaingiza sana.
Acha uchochezi wa kidini wewe.Naona watu wanasema makamu wa Rais awe mkataliki je ni lazima makamu wa Rais awe mkatoliki
Wakatoliki wanajikutaga wao ni watu wa muhimu sana kuliko madhehebu mengine ya wakristo
Unajua watu wanawatuhumu wazanzibar kwamba wana nepotism ila hakuna watu wanaubaguzi kama wakatoliki huwa wanadhani wana umuhimu kuliko madhehebu mengine ya kikristo
Leo hii mtu anakuambia makamu wa Rais mpya lazima awe mkatoliki serious zama hizi kweli unaongea pumba kama hii akishakuwa mkatoliki wewe mkatoliki inakuongezea nini
Kama nchi kuna taboo za kuacha hazina faida yeyote ile
Hivi wewe ni mlokole?Upuuzi!
Uwe unatumia akili mkuu.Hao ndio TEC nafasi ya uongozi wa juu kama ni mkiristo basi lazima awe mkatoliki sijui madhehebu mengine yanakwama wapi
Hapana sa hiv ni Mm na nasali EAGTNaona watu wanasema makamu wa Rais awe mkataliki je ni lazima makamu wa Rais awe mkatoliki