NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Sio lazima anaweza kuwa wa dini yoyoteNaona watu wanasema makamu wa Rais awe mkataliki je ni lazima makamu wa Rais awe mkatoliki
Wakatoliki wanajikutaga wao ni watu wa muhimu sana kuliko madhehebu mengine ya wakristo
Unajua watu wanawatuhumu wazanzibar kwamba wana nepotism ila hakuna watu wanaubaguzi kama wakatoliki huwa wanadhani wana umuhimu kuliko madhehebu mengine ya kikristo
Leo hii mtu anakuambia makamu wa Rais mpya lazima awe mkatoliki serious zama hizi kweli unaongea pumba kama hii akishakuwa mkatoliki wewe mkatoliki inakuongezea nini
Kama nchi kuna taboo za kuacha hazina faida yeyote ile
Hao walokole wana mihemko, hawachelewi kusambaza mafuta ya akina Mwamposa kwenye ofisi za ummaHao ndio TEC nafasi ya uongozi wa juu kama ni mkiristo basi lazima awe mkatoliki sijui madhehebu mengine yanakwama wapi
Ni lazima awe mkatoliki kwa mujibu wa Katiba au Kijitabu?Kuna kitu kinaitwa organization culture go and Google
Ni lazima awe mkatoliki
Daah, hili neno Kobazi hivi kwanini lihusishwe na dili Ile 😊Isingekuwa rais ni kobazi ingeangaziwa kwa makobazi nani awe makamu, top two haiwezi kuwa wote kobazi
Tupate wapagani sasaNaona watu wanasema makamu wa Rais awe mkataliki je ni lazima makamu wa Rais awe mkatoliki
Wakatoliki wanajikutaga wao ni watu wa muhimu sana kuliko madhehebu mengine ya wakristo
Unajua watu wanawatuhumu wazanzibar kwamba wana nepotism ila hakuna watu wanaubaguzi kama wakatoliki huwa wanadhani wana umuhimu kuliko madhehebu mengine ya kikristo
Leo hii mtu anakuambia makamu wa Rais mpya lazima awe mkatoliki serious zama hizi kweli unaongea pumba kama hii akishakuwa mkatoliki wewe mkatoliki inakuongezea nini
Kama nchi kuna taboo za kuacha hazina faida yeyote ile
Tunataka makamu wa Rais AtheistTunataka Makamu wa Rais mwenye kufuata dini za jadi
Una hiyo ripoti ya utafiti wako? Huo ni upotoshaji tu, anaweza kuwa msabato. Mwl. J.k Nyerere hakuwahi kuzingatia huo upuuzi. Ni Rais tu mwoga asiyejiamini atazingatia huo upuuzi.Naona watu wanasema makamu wa Rais awe mkataliki je ni lazima makamu wa Rais awe mkatoliki
Wakatoliki wanajikutaga wao ni watu wa muhimu sana kuliko madhehebu mengine ya wakristo
Unajua watu wanawatuhumu wazanzibar kwamba wana nepotism ila hakuna watu wanaubaguzi kama wakatoliki huwa wanadhani wana umuhimu kuliko madhehebu mengine ya kikristo
Leo hii mtu anakuambia makamu wa Rais mpya lazima awe mkatoliki serious zama hizi kweli unaongea pumba kama hii akishakuwa mkatoliki wewe mkatoliki inakuongezea nini
Kama nchi kuna taboo za kuacha hazina faida yeyote ile
Ni majinga sana hayo majitu, na yasipeww tena madaraka makubwa,bora wapewe watu dhehebu la KKT kuliko hawa wakatoliki,machafuko yote source ni wao..Naona watu wanasema makamu wa Rais awe mkataliki je ni lazima makamu wa Rais awe mkatoliki
Wakatoliki wanajikutaga wao ni watu wa muhimu sana kuliko madhehebu mengine ya wakristo
Unajua watu wanawatuhumu wazanzibar kwamba wana nepotism ila hakuna watu wanaubaguzi kama wakatoliki huwa wanadhani wana umuhimu kuliko madhehebu mengine ya kikristo
Leo hii mtu anakuambia makamu wa Rais mpya lazima awe mkatoliki serious zama hizi kweli unaongea pumba kama hii akishakuwa mkatoliki wewe mkatoliki inakuongezea nini
Kama nchi kuna taboo za kuacha hazina faida yeyote ile
Sio kweli. Nani amekuambia? Hapo umemsikia umemsikia mtu mmoja anakuambia hiyo pumba, tayari na wewe umegeneraise.Naona watu wanasema makamu wa Rais awe mkataliki je ni lazima makamu wa Rais awe mkatoliki
Wakatoliki wanajikutaga wao ni watu wa muhimu sana kuliko madhehebu mengine ya wakristo
Unajua watu wanawatuhumu wazanzibar kwamba wana nepotism ila hakuna watu wanaubaguzi kama wakatoliki huwa wanadhani wana umuhimu kuliko madhehebu mengine ya kikristo
Leo hii mtu anakuambia makamu wa Rais mpya lazima awe mkatoliki serious zama hizi kweli unaongea pumba kama hii akishakuwa mkatoliki wewe mkatoliki inakuongezea nini
Kama nchi kuna taboo za kuacha hazina faida yeyote ile
Kwani yuko wapi sahv? Mbn anaishi km NGUCHIRO?NILISHASEMA
SAFARI HII NI ZAMU YA JOSEPHATI GWAJIMA FULL STOP
Siyo lazima, awe hata muislamu kikubwa awe na sifa na mwenye kufuata sheria za nchi ila hasiwe kama mama wa ZanzibarKuna kitu kinaitwa organization culture go and Google
Ni lazima awe mkatoliki