Kwani pale Kampala Kuna Nini mbona nasikia 🤸🤸

Dictator anapumulia mashine nchini Kenya,tuzidishe maombi jamani ili akaungane na ndugu yake mwendazake wa chatto
 
Watanzania kwa umbea, wivu, majungu na ndugu yao mvivu tunaongoza Yan hatujui adui yetu n nani.

Sasa Mambo ya Uganda wewe mtanzania ambae huna hata lolote Uganda unaanza kufurahia Jambo Kama Hilo kweli?

Tujifunze kumjua adui yetu kwanza vinginevyo tutasindikiza wenzetu Sana ili kukamilisha Mambo yao.
 
😂😂😂😂✍️✍️✍️Pole sana
 
Back
Top Bottom