Ugumu wangu
JF-Expert Member
- May 6, 2021
- 1,685
- 3,552
- Thread starter
- #141
👏👏👏Kwani ikiwa kweli kuna nn...!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👏👏👏Kwani ikiwa kweli kuna nn...!?
KabisaaKumekuchaaaa
Vijana wa chadema wao kazi yao ni kutakia wenzao vifo tu utafikiri wataishi milele.Sio kweli. Wameshakanusha
Mbowe kawa dikteta lini? Au usiku wa leoVijana wa chadema wao kazi yao ni kutakia wenzao vifo tu utafikiri wataishi milele.
Wanataka madikteta wafe lakini hawataku dikteta mbowe afe ama udikteta wao wanauona kwenye mcho gani?
Madikteta wote wanonga'ang'ania madaraka wafe akiwemo mwenyekiti.
Ndio maana nasema vijana wa chadema mnafikiria kwa kutumia makalio,sio vichwa.Mbowe kawa dikteta lini? Au usiku wa leo
Pole sana, Mungu akusaidieNdio maana nasema vijana wa chadema mnafikiria kwa kutumia makalio,sio vichwa.
Kama Mbowe sio dikteta, M7 udikteta wake uko wapi maana wote wanashinda uchaguzi.
Akusaidie wewe upate akili ya kuona mambo kwa upana wakePole sana, Mungu akusaidie
Ngoja ninyamaze maana📸📸📼✍️✍️Akusaidie wewe upate akili ya kuona mambo kwa upana wake
kwani jiwe walikanusha mara ngapiSio kweli. Wameshakanusha
👏👏👏kwani jiwe walikanusha mara ngapi
Angechafuka Ila alijua kuwa Kuna hatari hiviYani viongozi wa africa wanashangaza sana..wakipata matatizo wananchi ndo wanashangilia..sijui huwa hawajitathmini mambo wanayowafanyia wananchi wao...hapa ndo nasema jk wa kwanza alisoma alama za nyakati mapema yani angejisahau nayeye ati akamate usukani hadi uchaguzi wa vyama vingi CV yake ingekuwa namadoa..