Ugumu wangu
JF-Expert Member
- May 6, 2021
- 1,685
- 3,552
- Thread starter
- #121
Ilikuwa ni bonge la mtama mpaka x mke akaropoka huko mji wa mawesana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa ni bonge la mtama mpaka x mke akaropoka huko mji wa mawesana mkuu
Sio bure kabisa Kuna jamboMmmh naona Kuna kitu kinataka kutokea..
Hata hapa bongo, Kassim alikanusha kuhusu bosi wakeSio kweli. Wameshakanusha
MTU anayepanga na kufurahia ,na kuzusha vifo vya wengine.Atakuwa na rahaana kubwa katika maisha yake.Mwaka wa madikteta huu
Tusifurah Sana hata wapenda demokrasia mda wetu unakuja pia
rahaana ndio wadudu gani?MTU anayepanga na kufurahia ,na kuzusha vifo vya wengine.Atakuwa na rahaana kubwa katika maisha yake.
Sawa, sasa twende pamoja.rahaana.
Bado mmoja Africa mashariki.Mwaka wa madikteta huu
Tusifurah Sana hata wapenda demokrasia mda wetu unakuja pia
Mwanae ndio wa kwanza kupelekwa Nairobi kabla dingi hajapelekwa na Ile helikopta yake Kama ya Trump.Atamalizia mwanae maana ndio mtarajiwa wahuko
Kwani ikiwa kweli kuna nn...!?Isiwe tu kweli
Kumekucha, ndio kawaida ya viongozi wetuMwanae ndio wa kwanza kupelekwa Nairobi kabla dingi hajapelekwa na Ile helikopta yake Kama ya Trump.
Wakati wakenya wanajenga siptali yeye alikua ananunua magari ya kuumiza upinzani.
Sasa pamefikia patamu magari hayawezi kumpa okisijen.
Alikua na mijigari ya kumlinda kwenye misafara yake. Imlinde Sasa.
Pathetic