Kwani pale Kampala Kuna Nini mbona nasikia 🀸🀸

Sio kweli. Wameshakanusha
Vijana wa chadema wao kazi yao ni kutakia wenzao vifo tu utafikiri wataishi milele.

Wanataka madikteta wafe lakini hawataku dikteta mbowe afe ama udikteta wao wanauona kwenye mcho gani?

Madikteta wote wanonga'ang'ania madaraka wafe akiwemo mwenyekiti.
 
Mbowe kawa dikteta lini? Au usiku wa leo
 
Mbowe kawa dikteta lini? Au usiku wa leo
Ndio maana nasema vijana wa chadema mnafikiria kwa kutumia makalio,sio vichwa.

Kama Mbowe sio dikteta, M7 udikteta wake uko wapi maana wote wanashinda uchaguzi.
 
Yani viongozi wa africa wanashangaza sana..wakipata matatizo wananchi ndo wanashangilia..sijui huwa hawajitathmini mambo wanayowafanyia wananchi wao...hapa ndo nasema jk wa kwanza alisoma alama za nyakati mapema yani angejisahau nayeye ati akamate usukani hadi uchaguzi wa vyama vingi CV yake ingekuwa namadoa..
 
Angechafuka Ila alijua kuwa Kuna hatari hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…