Kwani Siku Hizi Hatuli?, Mbona Paka Kalala Jikoni?

Kwani Siku Hizi Hatuli?, Mbona Paka Kalala Jikoni?

malisak

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2006
Posts
694
Reaction score
775
Uzi wa mapishi umedoda jamani watu sijui tupo kwenye mifungo mikavu, rudini kundini tuanzae madigo diko mapya. Mtag mwana mapishi wako pendwa umualike arudi uzini tushee mapishi mapya na kukumbusha ya zamani pia. Kuna lishe za afya na za watoto pia ni vyema tunaukaza uzi wa mekoni.
 
Uzi wa mapishi umedoda jamani watu sijui tupo kwenye mifungo mikavu, rudini kundini tuanzae madigo diko mapya. Mtag mwana mapishi wako pendwa umualike arudi uzini tushee mapishi mapya na kukumbusha ya zamani pia. Kuna lishe za afya na za watoto pia ni vyema tunaukaza uzi wa mekoni. @baby seky @jeansal6 @Mimi Alex @Amina Abdul
 
dream queen na lizy vipi wameacha?mana huyó lizy kwenye selfika anaweka viporo vyake badala ya sura
 
Back
Top Bottom