Wanazuwoni na magwiji wa Sheria Mimi naomba kuuliza kwani nchi ipo ktk hali ya hatari? Au kuna tamko la nchi Kuwa ktk hali ya hatari?
Je Rais anaweza kuiweka nchi ktk hali ya hatari bila kutangaza ktk umma?
Why I'm asking?
Kuzima mitandao ya SIM na Uhuru wa kuwasiliana ni moja ya mambo yanaruhusiwa ikiwa Tu nchi inakuwa ktk hali ya hatari maana ktk hali ya kawaida sio Rahisi kuzuwia mitandao ref katiba inayo tuongoza wakati wa hatari.
Kutofuatwa Sheria na kufanya mambo Kwa njia ambayo haikuzoeleka wakati Taifa likiwa ktk hali ya hatari Sheria za nchi huwa kama zina lala ili kumruhusu Rais na watu wa usalama kufanya mambo Yao pasipo kuulizwa na MTU awaye yeyote au kuhojiwa na mahakama. Hapa Fuatilia sekeseke la wabunge wa CHADEMA na vile Yule alikuwa gerezani alitoka pasipo kesi kusomwa mahali popote na mwisho Kuwa mbunge. Haya hayawezekani kama hujaweka nchi ktk hali ya hatari.
Je, tupo majira gani na mbona hakuna taarifa?