Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,810
- 6,441
Eti chama cha demokrasia na Maendeleo. Hakina hata ofisi. Demokrasia yake ni mwenyekiti wa kudumu wa chama. Ukisema fyo mwulize zitto na wenzake.Kiongozi gani mfano kasigina Katiba? Mbona Mbowe alivyosigina Katiba ya Chadema na kujiongezea muda wa kuwa mwenyekiti, badala ya kumkemea mkamsifia na kumpongeza? Unafikiri kama huyo akiingia kwenye Urais si atajitangaza kuwa KING MSWATI? Kwa mtu kama wewe una "guts" za kuwalaumu wengine?