Kwani Tanzania ipo vitani? Au kuna hali ya hatari?

Nmekuita mtoto sababu unaoneoana Exposure hauna kabisa kma ungekua mtu mzima ungefaham kipindi cha Mobutu na Idd Amin wananchi hawakuandamana licha ya hao madikteta kushindwa endesha nchi. Je ilikua na maana waliridhika na utawala wao?

Unadai eti tupo mitandaoni hufahamu kwamba Obama aliongeza zaidi ya 20%ya kura zake sababu ya online presence. Same to maandamano ya Arab springs yalikua propagated kwenye social media sasa unapo downplay role ya social media kwa kudai watu hawapo site inaonyesha una exposure ndogo sana.
Kma mzazi una mtoto yupo A level una reason hivi, basi we have a bigger problem than earlier anticipated.
Zitto Junior na Sweettable, msigombane jamani, hapa naona mmetofautiana padogo sana, matatizo yote haya ya kutokuelewana yanasababishwa na ccm, hasa hii awamu ya tano, imechangia pakubwa hasira baina ya pande zinazotofautiana kiitikadi
 
CCM wametuharibia utamaduni wa nchi yetu kabisa kabisa, sisi watanzania si wa kuishi kama warundi, kweli jamani ? Ukimwona mwana CCM unapata hisia kwamba yeye ndiye anatakiwa kuishi na kujivunia u-CCM wake ila wenye itikadi nyingine ni wao na Mageleza, wao na Mapolice, wao na Usalama wa taifa, wao na kudhurumiwa haki zao, wao na kupotezwa, wao na makaburi, wao na mahakama -- haya si mambo ambayo baba wa Taifa aliyajenga - CCM jirekebisheni haraka.
 
CCM wametuharibia utamaduni wa nchi yetu kabisa kabisa, sisi watanzania si wa kuishi kama warundi, kweli jamani ? Ukimwona mwana CCM unapata hisia kwamba yeye ndiye anatakiwa kuishi na kujivunia u-CCM wake ila wenye itikadi nyingine ni wao na Mageleza, wao na Mapolice, wao na Usalama wa taifa, wao na mahakama -- haya si mambo ambayo baba wa Taifa aliyajenga - CCM jirekebisheni haraka.
Mkuu ccm wanajirekebishaje ilhali aliwaroga alishakufa ??.
 
Wanazuwoni na magwiji wa Sheria Mimi naomba kuuliza kwani nchi ipo ktk hali ya hatari? Au kuna tamko la nchi Kuwa ktk hali ya hatari?

Je Rais anaweza kuiweka nchi ktk hali ya hatari bila kutangaza ktk umma?

Why I'm asking?
Kuzima mitandao ya SIM na Uhuru wa kuwasiliana ni moja ya mambo yanaruhusiwa ikiwa Tu nchi inakuwa ktk hali ya hatari maana ktk hali ya kawaida sio Rahisi kuzuwia mitandao ref katiba inayo tuongoza wakati wa hatari.

Kutofuatwa Sheria na kufanya mambo Kwa njia ambayo haikuzoeleka wakati Taifa likiwa ktk hali ya hatari Sheria za nchi huwa kama zina lala ili kumruhusu Rais na watu wa usalama kufanya mambo Yao pasipo kuulizwa na MTU awaye yeyote au kuhojiwa na mahakama. Hapa Fuatilia sekeseke la wabunge wa CHADEMA na vile Yule alikuwa gerezani alitoka pasipo kesi kusomwa mahali popote na mwisho Kuwa mbunge. Haya hayawezekani kama hujaweka nchi ktk hali ya hatari.

Je, tupo majira gani na mbona hakuna taarifa?
Tunapambana na mabeberu, wametunyima pesa zao. Tunapigana na adui tusiyemuona. Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Wanazuwoni na magwiji wa Sheria Mimi naomba kuuliza kwani nchi ipo ktk hali ya hatari? Au kuna tamko la nchi Kuwa ktk hali ya hatari?

Je Rais anaweza kuiweka nchi ktk hali ya hatari bila kutangaza ktk umma?

Why I'm asking?
Kuzima mitandao ya SIM na Uhuru wa kuwasiliana ni moja ya mambo yanaruhusiwa ikiwa Tu nchi inakuwa ktk hali ya hatari maana ktk hali ya kawaida sio Rahisi kuzuwia mitandao ref katiba inayo tuongoza wakati wa hatari.

Kutofuatwa Sheria na kufanya mambo Kwa njia ambayo haikuzoeleka wakati Taifa likiwa ktk hali ya hatari Sheria za nchi huwa kama zina lala ili kumruhusu Rais na watu wa usalama kufanya mambo Yao pasipo kuulizwa na MTU awaye yeyote au kuhojiwa na mahakama. Hapa Fuatilia sekeseke la wabunge wa CHADEMA na vile Yule alikuwa gerezani alitoka pasipo kesi kusomwa mahali popote na mwisho Kuwa mbunge. Haya hayawezekani kama hujaweka nchi ktk hali ya hatari.

Je, tupo majira gani na mbona hakuna taarifa?
Mpuuzi saaana wewe , ulikuwa unafanya maombi ili yatokee kama yaliyotokea nchini kwenu Kenya mwaka 2007/2008.
Mimi nipo TCRA Changamoto za kimtandao ni kawaida saaana duniani kote. Na sidhani kama unautaalam wa hali ya hatari kutangazwa zaidi ya kumezeshwa na notisi za wakoloni.
 
Luckdube aliimba akasema huwezi kujua kuna hatari Mpaka Atakapokujia Mtu Aliyevalia koti refu jeusi akakulima shaba utaelewa
 
Wanazuwoni na magwiji wa Sheria Mimi naomba kuuliza kwani nchi ipo ktk hali ya hatari? Au kuna tamko la nchi Kuwa ktk hali ya hatari?

Je Rais anaweza kuiweka nchi ktk hali ya hatari bila kutangaza ktk umma?

Why I'm asking?
Kuzima mitandao ya SIM na Uhuru wa kuwasiliana ni moja ya mambo yanaruhusiwa ikiwa Tu nchi inakuwa ktk hali ya hatari maana ktk hali ya kawaida sio Rahisi kuzuwia mitandao ref katiba inayo tuongoza wakati wa hatari.

Kutofuatwa Sheria na kufanya mambo Kwa njia ambayo haikuzoeleka wakati Taifa likiwa ktk hali ya hatari Sheria za nchi huwa kama zina lala ili kumruhusu Rais na watu wa usalama kufanya mambo Yao pasipo kuulizwa na MTU awaye yeyote au kuhojiwa na mahakama. Hapa Fuatilia sekeseke la wabunge wa CHADEMA na vile Yule alikuwa gerezani alitoka pasipo kesi kusomwa mahali popote na mwisho Kuwa mbunge. Haya hayawezekani kama hujaweka nchi ktk hali ya hatari.

Je, tupo majira gani na mbona hakuna taarifa?
Total anarchy!!!
 
Nmekuita mtoto sababu unaoneoana Exposure hauna kabisa kma ungekua mtu mzima ungefaham kipindi cha Mobutu na Idd Amin wananchi hawakuandamana licha ya hao madikteta kushindwa endesha nchi. Je ilikua na maana waliridhika na utawala wao?

Unadai eti tupo mitandaoni hufahamu kwamba Obama aliongeza zaidi ya 20%ya kura zake sababu ya online presence. Same to maandamano ya Arab springs yalikua propagated kwenye social media sasa unapo downplay role ya social media kwa kudai watu hawapo site inaonyesha una exposure ndogo sana.
Kma mzazi una mtoto yupo A level una reason hivi, basi we have a bigger problem than earlier anticipated.
The problem is within you who think you know but you're just an imbecile.
 
Kuna jambo mtoa mada analiona ila anashindwa kueleweka.
 
Fall Army Worm
Ndivyo tulivyo lakini wananchi huku "site" wanatukubali sana ndio maana wanatupa kura za kutosha kuusambaratisha upinzani. Ninyi kaeni mitandaoni na trivial and crap news mjifurahishe huku vyama vyenu vinakufa "site".

2/3 ya watanzania hawakushiriki maonyesho ya ujinga wa mweusi kwenye box la kura. Na hizo kura mnazotaka kusema wananchi wamewapa sio kweli, bali wananchi wako kimya kuhofia kutekwa, kuuwawa, kubambikiwa kodi nk iwapo wataonyesha hisia zao.
 
Hivi kama wananchi wanahofia kutekwa,kuuwawa na kubambikiwa kodi wangekuwa wanafanya kazi zao kila siku? Achana na na propaganda za kipuuzi baada ya kukosa sapoti toka kwa wananchi. Hivi kama wananchi wameibiwa kura na hawaitaki Ccm unadhani mngelihangaika kuhamasisha maandamano?
 
2/3 hawakishiriki, sawa. Hizo mlizoibiwa ni zipi? (Ukijua hesabu raja sana)! Ahahahahahahhhahaha!!!
 
Hivi kama wananchi wanahofia kutekwa,kuuwawa na kubambikiwa kodi wangekuwa wanafanya kazi zao kila siku? Achana na na propaganda za kipuuzi baada ya kukosa sapoti toka kwa wananchi. Hivi kama wananchi wameibiwa kura na hawaitaki Ccm unadhani mngelihangaika kuhamasisha maandamano?

Hata Idd Amini alipokuwa anakuwa waganda bado walikuwa wanafanya kazi zao kila siku. Je wananchi wa Uganda waliandamana kwakuwa hawamtaki Amin? Au kwakuwa hawakuandama basi walikuwa wanamkubali Idd Amini?
 
We dogo hali ya maisha na kisiasa ya Uganda wakati wa Amini uliishuhudia we dogo au unaongea tu?
 
Kwani hawa wachungaji na mapadri wanaomuhubiri Yesu mpaka wanatoka mishipa ya shingo walimshuhudia? Tunasema vita kuu ya kwanza na ya pili ya dunia watu wengi sana walikufa, kwani hawa wanaosema hivi walishuhudia hivyo vita?
 
Kiongozi gani mfano kasigina Katiba? Mbona Mbowe alivyosigina Katiba ya Chadema na kujiongezea muda wa kuwa mwenyekiti, badala ya kumkemea mkamsifia na kumpongeza? Unafikiri kama huyo akiingia kwenye Urais si atajitangaza kuwa KING MSWATI? Kwa mtu kama wewe una "guts" za kuwalaumu wengine?
Ulivyomtaja mbowe tuu,akili yako tumejua ikoje.
 
Wanazuwoni na magwiji wa Sheria Mimi naomba kuuliza kwani nchi ipo ktk hali ya hatari? Au kuna tamko la nchi Kuwa ktk hali ya hatari?

Je Rais anaweza kuiweka nchi ktk hali ya hatari bila kutangaza ktk umma?

Why I'm asking?
Kuzima mitandao ya SIM na Uhuru wa kuwasiliana ni moja ya mambo yanaruhusiwa ikiwa Tu nchi inakuwa ktk hali ya hatari maana ktk hali ya kawaida sio Rahisi kuzuwia mitandao ref katiba inayo tuongoza wakati wa hatari.

Kutofuatwa Sheria na kufanya mambo Kwa njia ambayo haikuzoeleka wakati Taifa likiwa ktk hali ya hatari Sheria za nchi huwa kama zina lala ili kumruhusu Rais na watu wa usalama kufanya mambo Yao pasipo kuulizwa na MTU awaye yeyote au kuhojiwa na mahakama. Hapa Fuatilia sekeseke la wabunge wa CHADEMA na vile Yule alikuwa gerezani alitoka pasipo kesi kusomwa mahali popote na mwisho Kuwa mbunge. Haya hayawezekani kama hujaweka nchi ktk hali ya hatari.

Je, tupo majira gani na mbona hakuna taarifa?
Mkuu wa nchi alisema tuna vita kubwa ya kiuchumi na wanaotuonea wivu ni mabeberu, au unamaanisha vita ipi mkuu?
 
Back
Top Bottom