Katoa hoja gani? Kukusanyakusanya maneno na kurundika ni hoja?Ndio shida ya mtu mweusi mjibu hoja yake usimtukane.
Viongozi wanasigina katiba walioapa kuisimamia wewe huoni hiyo shida? Na hatuko vitani?Katoa hoja gani? Kukusanyakusanya maneno na kurundika ni hoja?
Kiongozi gani mfano kasigina Katiba? Mbona Mbowe alivyosigina Katiba ya Chadema na kujiongezea muda wa kuwa mwenyekiti, badala ya kumkemea mkamsifia na kumpongeza? Unafikiri kama huyo akiingia kwenye Urais si atajitangaza kuwa KING MSWATI? Kwa mtu kama wewe una "guts" za kuwalaumu wengine?Viongozi wanasigina katiba walioapa kuisimamia wewe huoni hiyo shida? Na hatuko vitani?
Mngejua bila polisi mngekatwa vichwa huku mtaani usingesema hivyo watu wamekosa matumaini kwasababu ya upumbavu wa chama chenu halafu unasema watu wanawakubali washukuruni Sana mabeyo diwani na siro VINGINEVYO mngekatwa vichwa mchana kweupee.Ndivyo tulivyo lakini wananchi huku "site" wanatukubali sana ndio maana wanatupa kura za kutosha kuusambaratisha upinzani. Ninyi kaeni mitandaoni na trivial and crap news mjifurahishe huku chama vyenu vinakufa "site".
Na hiyo ndio sababu pekee mliyobaki nayo kuhalalisha uwepo wa vyama vyenu. Tena msije mkaomba kukawa na extreme openness in elections. You'll perish!Mngejua bila polisi mngekatwa vichwa huku mtaani usingesema hivyo watu wamekosa matumaini kwasababu ya upumbavu wa chama chenu halafu unasema watu wanawakubali washukuruni Sana mabeyo diwani na siro VINGINEVYO mngekatwa vichwa mchana kweupee.
Ikiwa mmeusambaratisha upinzani sasa kwanini mnahangaika sana na hao Covid 19?Ndivyo tulivyo lakini wananchi huku "site" wanatukubali sana ndio maana wanatupa kura za kutosha kuusambaratisha upinzani. Ninyi kaeni mitandaoni na trivial and crap news mjifurahishe huku vyama vyenu vinakufa "site".
Wewe huoni ushenzi mkubwa na uvunjifu wa amani unaoendelea nchini.Toa upuuzi wako hapa!
Bahati wewe ndio hufuatilii. Wanaohangaika mitandaoni ni ninyi. Kila mmoja kavimba macho na kushupaza shingo. Kila sekunde mnapandiza uzi wa kuwatukana. Sisi CCM haituhusu! Kwani kufukuzana mmeanza leo? Na nakuhakikishia kama alivyosema Mwl. Nyerere ya kwamba ukila nyama ya binadamu huwezi kuacha, tunatarajia mtafukuzana sana. Kila mtu kwa wakati wake.Ikiwa mmeusambaratisha upinzani sasa kwanini mnahangaika sana na hao Covid 19?
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Wewe uliambiwa na Lissu na Maalim Seif uandamane ili uundoe ushenzi na uvunjivu wa amani nchini ukagwaya! Unajua kwanini uligwaya? Kwasababu unajua wanachokisema sio kweli. Na kama ni kweli, kwanini hukuandamana?Wewe huoni ushenzi mkubwa na uvunjifu wa amani unaoendelea nchini.