Umezoea kudhulumiwa tangu nyumbani kwako leo hii huoni dhuluma ni tatizowewe uliambiwa na Lissu na Maalim Seif uandamane ili uundoe ushenzi na uvunjivu wa amani nchini ukagwaya! Unajua kwanini uligwaya? Kwasababu unajua wanachokisema sio kweli. Na kama ni kweli, kwanini hukuandamana?
Ahahahahahahah! Ningeshangaa sana kama ungenijibu scholarly. Ahahahahahahah!Umezoea kudhulumiwa tangu nyumbani kwako leo hii huoni dhuluma ni tatizo acha ujinga.
Ukikosa akili, unachangia hoja kwa namna uliyofanya.Toa upuuzi wako hapa!
Kweli. Hata wewe naona umeniiga!!! Ahahahahahahah!!!
Umepoteza muda wako ,ungekuwa shambani ungeongeza tijaWanazuwoni na magwiji wa Sheria Mimi naomba kuuliza kwani nchi ipo ktk hali ya hatari? Au kuna tamko la nchi Kuwa ktk hali ya hatari?
Je Rais anaweza kuiweka nchi ktk hali ya hatari bila kutangaza ktk umma?
Why I'm asking?
Kuzima mitandao ya SIM na Uhuru wa kuwasiliana ni moja ya mambo yanaruhusiwa ikiwa Tu nchi inakuwa ktk hali ya hatari maana ktk hali ya kawaida sio Rahisi kuzuwia mitandao ref katiba inayo tuongoza wakati wa hatari.
Kutofuatwa Sheria na kufanya mambo Kwa njia ambayo haikuzoeleka wakati Taifa likiwa ktk hali ya hatari Sheria za nchi huwa kama zina lala ili kumruhusu Rais na watu wa usalama kufanya mambo Yao pasipo kuulizwa na MTU awaye yeyote au kuhojiwa na mahakama. Hapa Fuatilia sekeseke la wabunge wa CHADEMA na vile Yule alikuwa gerezani alitoka pasipo kesi kusomwa mahali popote na mwisho Kuwa mbunge. Haya hayawezekani kama hujaweka nchi ktk hali ya hatari.
Je tupo majira gani na mbona hakuna taarifa?
Kama kuna mtu anaweza kuona hoja hii ni upuuzi, unaweza kuona ukubwa wa tatizo letu kama nchi!!!Toa upuuzi wako hapa!
Ni zaidi ya vita mkuuWanazuwoni na magwiji wa Sheria Mimi naomba kuuliza kwani nchi ipo ktk hali ya hatari? Au kuna tamko la nchi Kuwa ktk hali ya hatari?
Je Rais anaweza kuiweka nchi ktk hali ya hatari bila kutangaza ktk umma?
Why I'm asking?
Kuzima mitandao ya SIM na Uhuru wa kuwasiliana ni moja ya mambo yanaruhusiwa ikiwa Tu nchi inakuwa ktk hali ya hatari maana ktk hali ya kawaida sio Rahisi kuzuwia mitandao ref katiba inayo tuongoza wakati wa hatari.
Kutofuatwa Sheria na kufanya mambo Kwa njia ambayo haikuzoeleka wakati Taifa likiwa ktk hali ya hatari Sheria za nchi huwa kama zina lala ili kumruhusu Rais na watu wa usalama kufanya mambo Yao pasipo kuulizwa na MTU awaye yeyote au kuhojiwa na mahakama. Hapa Fuatilia sekeseke la wabunge wa CHADEMA na vile Yule alikuwa gerezani alitoka pasipo kesi kusomwa mahali popote na mwisho Kuwa mbunge. Haya hayawezekani kama hujaweka nchi ktk hali ya hatari.
Je tupo majira gani na mbona hakuna taarifa?
Ninaelewa matatizo ya watanzania wengi yanaanzia nyumbani, wote akina magu, ndugai nk wanaexpress ushenzi waliofanyiwa kwenye familia zao fuatilia historia zao utaona jambo hili.Ahahahahahahah! Ningeshangaa sana kama ungenijibu scholarly. Ahahahahahahah!
Sasa kwanini mnatumia nguvu nyingi kuwalinda covid 19?Bahati wewe ndio hufuatilii. Wanaohangaika mitandaoni ni ninyi. Kila mmoja kavimba macho na kushupaza shingo. Kila sekunde mnapandiza uzi wa kuwatukana. Sisi CCM haituhusu! Kwani kufukuzana mmeanza leo? Na nakuhakikishia kama alivyosema Mwl. Nyerere ya kwamba ukila nyama ya binadamu huwezi kuacha, tunatarajia mtafukuzana sana. Kila mtu kwa wakati wake.
Wakati huhuo, Katibu Mkuu wa CCM anawaambia wanachama na viongozi wa CCM wajipange kwa uchaguzi wa 2025, ninyi mnafukuzana na kukejeliana. Uchaguzi ukifika, nani kwenye akili timamu anaweza kuwapa kura? Endeleeni kuwatukana. Sisi tupo tunaijenga CCM yetu kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025!
Nenda kamuulize Rais mbona simple tuWanazuwoni na magwiji wa Sheria Mimi naomba kuuliza kwani nchi ipo ktk hali ya hatari? Au kuna tamko la nchi Kuwa ktk hali ya hatari?
Je Rais anaweza kuiweka nchi ktk hali ya hatari bila kutangaza ktk umma?
Why I'm asking?
Kuzima mitandao ya SIM na Uhuru wa kuwasiliana ni moja ya mambo yanaruhusiwa ikiwa Tu nchi inakuwa ktk hali ya hatari maana ktk hali ya kawaida sio Rahisi kuzuwia mitandao ref katiba inayo tuongoza wakati wa hatari.
Kutofuatwa Sheria na kufanya mambo Kwa njia ambayo haikuzoeleka wakati Taifa likiwa ktk hali ya hatari Sheria za nchi huwa kama zina lala ili kumruhusu Rais na watu wa usalama kufanya mambo Yao pasipo kuulizwa na MTU awaye yeyote au kuhojiwa na mahakama. Hapa Fuatilia sekeseke la wabunge wa CHADEMA na vile Yule alikuwa gerezani alitoka pasipo kesi kusomwa mahali popote na mwisho Kuwa mbunge. Haya hayawezekani kama hujaweka nchi ktk hali ya hatari.
Je tupo majira gani na mbona hakuna taarifa?
Sitakujibu kwa sasa.
Basi subiri ukishajifungua ujibu hii hoja basi mremboSitakujibu kwa sasa.
Nitashukuru sana kujua alipo na masibu Ben Saa8, mkuu tusaidie.1.Nina kubaliana na wahenga shetani akizeeka huwa malaika!
2.Damu ya Ben saa 8 ina kurudisha kwenye roho ya utu!
3. Kubwa kuliko yote ili tukuombeye kwa Mungu mwenye kumiliki ardhi na mbingu na vilivyoko tuambie Beni yupo wapi!
Katoa hoja gani? Kukusanyakusanya maneno na kurundika ni hoja?
Ili kuelewa hoja yake, fanya kinume ya alichofanya, i.e. yeye amekusanya, wewe tawanya, yeye amerundika, wewe tenganisha; halafu chunguza muunganiko, weka mazingira, elimu na uzoefu wako, ndipo ufahamu kama kuna hoja au la.Katoa hoja gani? Kukusanyakusanya maneno na kurundika ni hoja?
Reasoning yako ina shida hivi watu wa mitandaoni huwa wanaishi mwezini? Nashangaa sana utasikia mpo mitandaoni..... Kana kwamba waliopo JF ama Twitter na FB hawaishi Tz kabisa.Ndivyo tulivyo lakini wananchi huku "site" wanatukubali sana ndio maana wanatupa kura za kutosha kuusambaratisha upinzani. Ninyi kaeni mitandaoni na trivial and crap news mjifurahishe huku vyama vyenu vinakufa "site".