Eti chama cha demokrasia na Maendeleo. Hakina hata ofisi. Demokrasia yake ni mwenyekiti wa kudumu wa chama. Ukisema fyo mwulize zitto na wenzake.Kiongozi gani mfano kasigina Katiba? Mbona Mbowe alivyosigina Katiba ya Chadema na kujiongezea muda wa kuwa mwenyekiti, badala ya kumkemea mkamsifia na kumpongeza? Unafikiri kama huyo akiingia kwenye Urais si atajitangaza kuwa KING MSWATI? Kwa mtu kama wewe una "guts" za kuwalaumu wengine?
Mwizi wakati wote huwa anakuwa na wasiwasi.Wanazuwoni na magwiji wa Sheria Mimi naomba kuuliza kwani nchi ipo ktk hali ya hatari? Au kuna tamko la nchi Kuwa ktk hali ya hatari?
Je Rais anaweza kuiweka nchi ktk hali ya hatari bila kutangaza ktk umma?
Why I'm asking?
Kuzima mitandao ya SIM na Uhuru wa kuwasiliana ni moja ya mambo yanaruhusiwa ikiwa Tu nchi inakuwa ktk hali ya hatari maana ktk hali ya kawaida sio Rahisi kuzuwia mitandao ref katiba inayo tuongoza wakati wa hatari.
Kutofuatwa Sheria na kufanya mambo Kwa njia ambayo haikuzoeleka wakati Taifa likiwa ktk hali ya hatari Sheria za nchi huwa kama zina lala ili kumruhusu Rais na watu wa usalama kufanya mambo Yao pasipo kuulizwa na MTU awaye yeyote au kuhojiwa na mahakama. Hapa Fuatilia sekeseke la wabunge wa CHADEMA na vile Yule alikuwa gerezani alitoka pasipo kesi kusomwa mahali popote na mwisho Kuwa mbunge. Haya hayawezekani kama hujaweka nchi ktk hali ya hatari.
Je tupo majira gani na mbona hakuna taarifa?
Kutumbuliwa kubayaNasisitiza huyu mtu asaidiwe ana tatizo kubwa kisaikolojia.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Tupo majira ya mvua za hapa na pale na hili lilijulikana mapema baada ya uchaguzi kuna watu watakua hawaelewi kama ni mchana au usiku kazi imeanza watu wanauliza vita wakati wanaona kuna amani na kila kukicha yupo huru na amani na ndio maana amepata hata nafasi ya kwenda mashine na kukoboa mahindi akatuletea hizi pumba tuwape mabata!
Kama ulifanyiwa ushenzi kwenye familia yako, pole sana. Lakini jinai haiishi, ebu karipoti kwenye Dawati la Jinsia lililopo jirani nawe.Ninaelewa matatizo ya watanzania wengi yanaanzia nyumbani, wote akina magu, ndugai nk wanaexpress ushenzi waliofanyiwa kwenye familia zao fuatilia historia zao utaona jambo hili.
Watalindwa kama RAIA yeyote wa Tanzania anavyolindwa. Mambo ya kwenye chama chenu, mtajuana wenyewe.Sasa kwanini mnatumia nguvu nyingi kuwalinda covid 19?
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Yes. S/he gets credits from the naïve.Hili povu linazidi kumpa mtoa mada credit. Bora ungesalia kimya!
Sio tofali tu, na kokoto, mchanga vyote vinahitajika.Sasa kwani hoja hujengwa kwa kukusanya tofali?
Ahsante kwa kuchangia. Siku nyingi ujue!!!Jibu hoja wewe.
Watu wa mitandaoni kama ninyi ndio mnaowapotosha watu kama akina Lissu kuwa CCM imekufa, Tanzania haitawaliki, haina amani eti anasubiriwa yeye tu kiwakomboa. Kwenye kupiga hamuendi na hili nina ushahidi dhahiri.Reasoning yako ina shida hivi watu wa mitandaoni huwa wanaishi mwezini? Nashangaa sana utasikia mpo mitandaoni..... Kana kwamba waliopo JF ama Twitter na FB hawaishi Tz kabisa.
So weird
Mwenyekiti anabadili katiba ya chama anavyotaka na hakuna wa kishupaza shingo. Halafu wanajiita eti akili kuwa. Wajinga kabisa!!Eti chama cha demokrasia na Maendeleo. Hakina hata ofisi. Demokrasia yake ni mwenyekiti wa kudumu wa chama. Ukisema fyo mwulize zitto na wenzake.
Upstairs zero.
Hujajibu swali unaposema site ina maana tunaishi JF hatuna makazi huko site? Wale waliokuwa wanampokea kwenye mikutano yake kwa maelfu nao wapo mitandaoni tu ila site hawapo?Watu wa mitandaoni kama ninyi ndio mnaowapotosha watu kama akina Lissu kuwa CCM imekufa, Tanzania haitawaliki, haina amani eti anasubiriwa yeye tu kiwakomboa. Kwenye kupiga hamuendi na hili nina ushahidi dhahiri.
Baada ya uchaguzi mnamdanganya eti ameibiwa kura. Kawaambia muingie barabarani kuzidai kura mlizompigia, hamkutokea. Kifupi, ninyi ni watu wa mitandaoni tu na mnaishi huko. Tanzania ya "" site" hamuijui.
Basi kwa mtazamo wako aachwe jiwe na nduu guy afanye atakavyo kwa sababu ya mboweKiongozi gani mfano kasigina Katiba? Mbona Mbowe alivyosigina Katiba ya Chadema na kujiongezea muda wa kuwa mwenyekiti, badala ya kumkemea mkamsifia na kumpongeza? Unafikiri kama huyo akiingia kwenye Urais si atajitangaza kuwa KING MSWATI? Kwa mtu kama wewe una "guts" za kuwalaumu wengine?
Ahahahahahahaha! Unashindwa hoja eti watoto. Kwa taarifa yako, mtoto wangu mkubwa yupo form five kwenye moja ya Old School nchini iliyopo Kilimanjaro. Si ajabu hata umri anakuzidi. Ahahahahahahah!Hujajibu swali unaposema site ina maana tunaishi JF hatuna makazi huko site? Wale waliokuwa wanampokea kwenye mikutano yake kwa maelfu nao wapo mitandaoni tu ila site hawapo?
Then maandamano mlizuia nyie kwa kukamata viongozi ila kma msingeingilia kma ile siku ya kumpokea Lissu mbona Dar ilisimama!! Yaani mnazuia kwa vitisho alafu mnajisifia kuwa amekataliwa?
Hvi kipindi cha Mobutu uliwahi ona maandamano? Shida watoto mmejaa humu JF... Exposure zero kabisa!
Viongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanafuata Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Basi kwa mtazamo wako aachwe jiwe na nduu guy afanye atakavyo kwa sababu ya mbowe
Nmekuita mtoto sababu unaoneoana Exposure hauna kabisa kma ungekua mtu mzima ungefaham kipindi cha Mobutu na Idd Amin wananchi hawakuandamana licha ya hao madikteta kushindwa endesha nchi. Je ilikua na maana waliridhika na utawala wao?Ahahahahahahaha! Unashindwa hoja eti watoto. Kwa taarifa yako, mtoto wangu mkubwa yupo form five kwenye moja ya Old School nchini iliyopo Kilimanjaro. Si ajabu hata umri anakuzidi. Ahahahahahahah!
Mkuu umeongea maneno hot sana, hivi Nusrat alitolewa peke yake au na wenzake aliokuwa nao magereza ?, naomba kujuzwaWanazuwoni na magwiji wa Sheria Mimi naomba kuuliza kwani nchi ipo ktk hali ya hatari? Au kuna tamko la nchi Kuwa ktk hali ya hatari?
Je Rais anaweza kuiweka nchi ktk hali ya hatari bila kutangaza ktk umma?
Why I'm asking?
Kuzima mitandao ya SIM na Uhuru wa kuwasiliana ni moja ya mambo yanaruhusiwa ikiwa Tu nchi inakuwa ktk hali ya hatari maana ktk hali ya kawaida sio Rahisi kuzuwia mitandao ref katiba inayo tuongoza wakati wa hatari.
Kutofuatwa Sheria na kufanya mambo Kwa njia ambayo haikuzoeleka wakati Taifa likiwa ktk hali ya hatari Sheria za nchi huwa kama zina lala ili kumruhusu Rais na watu wa usalama kufanya mambo Yao pasipo kuulizwa na MTU awaye yeyote au kuhojiwa na mahakama. Hapa Fuatilia sekeseke la wabunge wa CHADEMA na vile Yule alikuwa gerezani alitoka pasipo kesi kusomwa mahali popote na mwisho Kuwa mbunge. Haya hayawezekani kama hujaweka nchi ktk hali ya hatari.
Je, tupo majira gani na mbona hakuna taarifa?
Sawa ila....Umepoteza muda wako ,ungekuwa shambani ungeongeza tija au kama ungekuwa na mkeo ungeutumia huu muda vyema kwa uwezo wa Mola ungepata mtoto mwema kuliko kuleta huu ujinga hapa.