Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,609
- 2,738
Zitto Junior na Sweettable, msigombane jamani, hapa naona mmetofautiana padogo sana, matatizo yote haya ya kutokuelewana yanasababishwa na ccm, hasa hii awamu ya tano, imechangia pakubwa hasira baina ya pande zinazotofautiana kiitikadiNmekuita mtoto sababu unaoneoana Exposure hauna kabisa kma ungekua mtu mzima ungefaham kipindi cha Mobutu na Idd Amin wananchi hawakuandamana licha ya hao madikteta kushindwa endesha nchi. Je ilikua na maana waliridhika na utawala wao?
Unadai eti tupo mitandaoni hufahamu kwamba Obama aliongeza zaidi ya 20%ya kura zake sababu ya online presence. Same to maandamano ya Arab springs yalikua propagated kwenye social media sasa unapo downplay role ya social media kwa kudai watu hawapo site inaonyesha una exposure ndogo sana.
Kma mzazi una mtoto yupo A level una reason hivi, basi we have a bigger problem than earlier anticipated.
Mkuu ccm wanajirekebishaje ilhali aliwaroga alishakufa ??.CCM wametuharibia utamaduni wa nchi yetu kabisa kabisa, sisi watanzania si wa kuishi kama warundi, kweli jamani ? Ukimwona mwana CCM unapata hisia kwamba yeye ndiye anatakiwa kuishi na kujivunia u-CCM wake ila wenye itikadi nyingine ni wao na Mageleza, wao na Mapolice, wao na Usalama wa taifa, wao na mahakama -- haya si mambo ambayo baba wa Taifa aliyajenga - CCM jirekebisheni haraka.
Tunapambana na mabeberu, wametunyima pesa zao. Tunapigana na adui tusiyemuona. Au nasema uongo ndugu zangu?Wanazuwoni na magwiji wa Sheria Mimi naomba kuuliza kwani nchi ipo ktk hali ya hatari? Au kuna tamko la nchi Kuwa ktk hali ya hatari?
Je Rais anaweza kuiweka nchi ktk hali ya hatari bila kutangaza ktk umma?
Why I'm asking?
Kuzima mitandao ya SIM na Uhuru wa kuwasiliana ni moja ya mambo yanaruhusiwa ikiwa Tu nchi inakuwa ktk hali ya hatari maana ktk hali ya kawaida sio Rahisi kuzuwia mitandao ref katiba inayo tuongoza wakati wa hatari.
Kutofuatwa Sheria na kufanya mambo Kwa njia ambayo haikuzoeleka wakati Taifa likiwa ktk hali ya hatari Sheria za nchi huwa kama zina lala ili kumruhusu Rais na watu wa usalama kufanya mambo Yao pasipo kuulizwa na MTU awaye yeyote au kuhojiwa na mahakama. Hapa Fuatilia sekeseke la wabunge wa CHADEMA na vile Yule alikuwa gerezani alitoka pasipo kesi kusomwa mahali popote na mwisho Kuwa mbunge. Haya hayawezekani kama hujaweka nchi ktk hali ya hatari.
Je, tupo majira gani na mbona hakuna taarifa?
Mpuuzi saaana wewe , ulikuwa unafanya maombi ili yatokee kama yaliyotokea nchini kwenu Kenya mwaka 2007/2008.Wanazuwoni na magwiji wa Sheria Mimi naomba kuuliza kwani nchi ipo ktk hali ya hatari? Au kuna tamko la nchi Kuwa ktk hali ya hatari?
Je Rais anaweza kuiweka nchi ktk hali ya hatari bila kutangaza ktk umma?
Why I'm asking?
Kuzima mitandao ya SIM na Uhuru wa kuwasiliana ni moja ya mambo yanaruhusiwa ikiwa Tu nchi inakuwa ktk hali ya hatari maana ktk hali ya kawaida sio Rahisi kuzuwia mitandao ref katiba inayo tuongoza wakati wa hatari.
Kutofuatwa Sheria na kufanya mambo Kwa njia ambayo haikuzoeleka wakati Taifa likiwa ktk hali ya hatari Sheria za nchi huwa kama zina lala ili kumruhusu Rais na watu wa usalama kufanya mambo Yao pasipo kuulizwa na MTU awaye yeyote au kuhojiwa na mahakama. Hapa Fuatilia sekeseke la wabunge wa CHADEMA na vile Yule alikuwa gerezani alitoka pasipo kesi kusomwa mahali popote na mwisho Kuwa mbunge. Haya hayawezekani kama hujaweka nchi ktk hali ya hatari.
Je, tupo majira gani na mbona hakuna taarifa?
Total anarchy!!!Wanazuwoni na magwiji wa Sheria Mimi naomba kuuliza kwani nchi ipo ktk hali ya hatari? Au kuna tamko la nchi Kuwa ktk hali ya hatari?
Je Rais anaweza kuiweka nchi ktk hali ya hatari bila kutangaza ktk umma?
Why I'm asking?
Kuzima mitandao ya SIM na Uhuru wa kuwasiliana ni moja ya mambo yanaruhusiwa ikiwa Tu nchi inakuwa ktk hali ya hatari maana ktk hali ya kawaida sio Rahisi kuzuwia mitandao ref katiba inayo tuongoza wakati wa hatari.
Kutofuatwa Sheria na kufanya mambo Kwa njia ambayo haikuzoeleka wakati Taifa likiwa ktk hali ya hatari Sheria za nchi huwa kama zina lala ili kumruhusu Rais na watu wa usalama kufanya mambo Yao pasipo kuulizwa na MTU awaye yeyote au kuhojiwa na mahakama. Hapa Fuatilia sekeseke la wabunge wa CHADEMA na vile Yule alikuwa gerezani alitoka pasipo kesi kusomwa mahali popote na mwisho Kuwa mbunge. Haya hayawezekani kama hujaweka nchi ktk hali ya hatari.
Je, tupo majira gani na mbona hakuna taarifa?
The problem is within you who think you know but you're just an imbecile.Nmekuita mtoto sababu unaoneoana Exposure hauna kabisa kma ungekua mtu mzima ungefaham kipindi cha Mobutu na Idd Amin wananchi hawakuandamana licha ya hao madikteta kushindwa endesha nchi. Je ilikua na maana waliridhika na utawala wao?
Unadai eti tupo mitandaoni hufahamu kwamba Obama aliongeza zaidi ya 20%ya kura zake sababu ya online presence. Same to maandamano ya Arab springs yalikua propagated kwenye social media sasa unapo downplay role ya social media kwa kudai watu hawapo site inaonyesha una exposure ndogo sana.
Kma mzazi una mtoto yupo A level una reason hivi, basi we have a bigger problem than earlier anticipated.
Fall Army Worm
Ndivyo tulivyo lakini wananchi huku "site" wanatukubali sana ndio maana wanatupa kura za kutosha kuusambaratisha upinzani. Ninyi kaeni mitandaoni na trivial and crap news mjifurahishe huku vyama vyenu vinakufa "site".
Hivi kama wananchi wanahofia kutekwa,kuuwawa na kubambikiwa kodi wangekuwa wanafanya kazi zao kila siku? Achana na na propaganda za kipuuzi baada ya kukosa sapoti toka kwa wananchi. Hivi kama wananchi wameibiwa kura na hawaitaki Ccm unadhani mngelihangaika kuhamasisha maandamano?2/3 ya watanzania hawakushiriki maonyesho ya ujinga wa mweusi kwenye box la kura. Na hizo kura mnazotaka kusema wananchi wamewapa sio kweli, bali wananchi wako kimya kuhofia kutekwa, kuuwawa, kubambikiwa kodi nk iwapo wataonyesha hisia zao.
2/3 hawakishiriki, sawa. Hizo mlizoibiwa ni zipi? (Ukijua hesabu raja sana)! Ahahahahahahhhahaha!!!2/3 ya watanzania hawakushiriki maonyesho ya ujinga wa mweusi kwenye box la kura. Na hizo kura mnazotaka kusema wananchi wamewapa sio kweli, bali wananchi wako kimya kuhofia kutekwa, kuuwawa, kubambikiwa kodi nk iwapo wataonyesha hisia zao.
''You who think you''...... Haaahaaaa kwa English hii no wonder ur reasoning is abysmal.The problem is within you who think you know but you're just an imbecile.
Hivi kama wananchi wanahofia kutekwa,kuuwawa na kubambikiwa kodi wangekuwa wanafanya kazi zao kila siku? Achana na na propaganda za kipuuzi baada ya kukosa sapoti toka kwa wananchi. Hivi kama wananchi wameibiwa kura na hawaitaki Ccm unadhani mngelihangaika kuhamasisha maandamano?
Kwani hizo 1/3 zilikuwa zenu zote?2/3 hawakishiriki, sawa. Hizo mlizoibiwa ni zipi? (Ukijua hesabu raja sana)! Ahahahahahahhhahaha!!!
We dogo hali ya maisha na kisiasa ya Uganda wakati wa Amini uliishuhudia we dogo au unaongea tu?Hata Idd Amini alipokuwa anakuwa waganda bado walikuwa wanafanya kazi zao kila siku. Je wananchi wa Uganda waliandamana kwakuwa hawamtaki Amin? Au kwakuwa hawakuandama basi walikuwa wanamkubali Idd Amini?
We dogo hali ya maisha na kisiasa ya Uganda wakati wa Amini uliishuhudia we dogo au unaongea tu?
Why do we use English whenever we respond to each other?''You who think you''...... Haaahaaaa kwa English hii no wonder ur reasoning is abysmal.
Ulivyomtaja mbowe tuu,akili yako tumejua ikoje.Kiongozi gani mfano kasigina Katiba? Mbona Mbowe alivyosigina Katiba ya Chadema na kujiongezea muda wa kuwa mwenyekiti, badala ya kumkemea mkamsifia na kumpongeza? Unafikiri kama huyo akiingia kwenye Urais si atajitangaza kuwa KING MSWATI? Kwa mtu kama wewe una "guts" za kuwalaumu wengine?
Mkuu wa nchi alisema tuna vita kubwa ya kiuchumi na wanaotuonea wivu ni mabeberu, au unamaanisha vita ipi mkuu?Wanazuwoni na magwiji wa Sheria Mimi naomba kuuliza kwani nchi ipo ktk hali ya hatari? Au kuna tamko la nchi Kuwa ktk hali ya hatari?