Kwani Tanzania ipo vitani? Au kuna hali ya hatari?

Nakushauri uende Mahakamani ili upate tafsiri sahihi
 
Ndiyo ipo katika vita ya uchumi ndiyo wale wanaoneka kusaliti msatari wa mbele ni shaba tu
 
Hivi ni kwanini mnamwongelea Hanje pekee kutoka gerezani wakati wengine wengi tu na ni wanachama wa Chadema tena wanaume walitoka pamoja na Hanje hamuwasemi.

Acheni wivu wa kike kwa wanawake.

Pia kama ni watu kutoka gerezani bila kufikishwa mahakamani hojini basi na waliotolewa jana 02/12/2020 gereza la Karanga Moshi.
Kuna watu wanaachia na kesho yake wanarudishwa gerezani. Sasa iweje Hanje aamkie kuapishwa mmhoji? Kwani akiwa mahabusu haruhusiwi kujaza fomu? Hili silijui kama ni hivo.
 
We Maku tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…