Yap, unaweza kuweka ya ku slide au kufunguka kawaida, mfano mimi napenda sana mbao, sijawahi vutiwa na aluminium hata kidogo, so ile frem ya dirisha gril zinakua katikati kwajili ya usalama, then nje ndio shatter za kioo, ndani shatter za wavu.Hili ndio suluhisho. Kuna Nyumba niliwahi kuona hii kitu. Wameweka na wavu wa kuslide kwa ndani ya dirisha
Yap, unaweza kuweka ya ku slide au kufunguka kawaida, mfano mimi napenda sana mbao, sijawahi vutiwa na aluminium hata kidogo, so ile frem ya dirisha gril zinakua katikati kwajili ya usalama, then nje ndio shatter za kioo, ndani shatter za wavu.
Hii ndio sababu nayachukia madirisha haya na sitaweka nyumbani kwanguKati kati ya zile sliders mbili za vioo kuna upenyo mdogo, kwa mbu ni hallway ya mita 500
Ikifika saa 12 jioni inabidi ufunge, yawe sealed shut, la sivyo utalia, ndani panakua nje, bora hata nje
Ukifunga jiandae na 'suffocation' ya kutosha , ikifika saa 3 usiku uyafungue tena, ukisahau ukalala
iyoivyo bila 'AC' kuwa ON ( sio feni )
Kesho asubuhi jiandae na 'kizunguzungu'
I hate alminium windowsHaya madirisha hata kwenye baridi bado ni shida,kale kaupenyo kati ya dirisha moja na jingine huwa kanapitisha baridi sana,kifupi siyapendi...