Platnam
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 769
- 1,237
Yap, unaweza kuweka ya ku slide au kufunguka kawaida, mfano mimi napenda sana mbao, sijawahi vutiwa na aluminium hata kidogo, so ile frem ya dirisha gril zinakua katikati kwajili ya usalama, then nje ndio shatter za kioo, ndani shatter za wavu.Hili ndio suluhisho. Kuna Nyumba niliwahi kuona hii kitu. Wameweka na wavu wa kuslide kwa ndani ya dirisha